Madactari, wanasaikolojia, wachungaji na watu waliosoma masomo ya theology na tabia za ubongo wa Binadamu.

Madactari, wanasaikolojia, wachungaji na watu waliosoma masomo ya theology na tabia za ubongo wa Binadamu.

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Salaam wakuu.

Naenda moja kwa moja kwenye mada.

Tunaomba ufafanuzi kidogo tu juu ya hali ya Hallucination na mambo ya Imani zetu zote, Je Hallucination ni tendo la kiimani au ni tendo la kitabibu.

Ahsante:

NB: Hii mada kama huelewi please wewe soma tu comment upate kujifunza kama mimi, Usije ukaleta ujuaji. ( Mods naomba nilinde)

Pia samahani sijapata kiswahili kizuri cha Hallucination.
 
Kwangu mimi, Imani ni kukubali ukweli wa jambo lisiloweza kuthibitishwa.
Sasa kama jambo halijathibitishika, Utahitimishaje kusema kwamba ni ukweli?

Una elewa maana ya ukweli?

Mimi nikikwambia nina imani kuna Dragons 🐉 watemao moto 🔥 midomoni mwao bila uthibitisho wowote ule, Je huu utakuwa ni ukweli?

Na je utakubali tu?
 
Jifunze ubongo wa binadamu unavyofanya kazi; unavyoweza kuathirika au mambo gani yanayoathiri ubongo wa binadamu.
 
Halicination ni matokeo ya imani mfu yaani imani isiyo na matendo, mfano mtu kutaka kuwa na fedha bila kufanya lazi akiamini kuna mtu mahali atamtafuta na kumpatia fedha.
 
Halicination ni matokeo ya imani mfu yaani imani isiyo na matendo, mfano mtu kutaka kuwa na fedha bila kufanya lazi akiamini kuna mtu mahali atamtafuta na kumpatia fedha.
Yes sasa hapa naanza kupata mwanga naomba basi uelezee japo kidogo tu. Kwamba ni tendo la kiimani au ni hali tu ya ubongo unavyopambana kukaa sawa pale unapokuwa na depression ya hali ya juu.. .
 
Yes sasa hapa naanza kupata mwanga naomba basi uelezee japo kidogo tu. Kwamba ni tendo la kiimani au ni hali tu ya ubongo unavyopambana kukaa sawa pale unapokuwa na depression ya hali ya juu.. .
chanzo ni swala la kitabibu matokeo ni imani ya kuamini kitu kisichokuwepo.na mtu akishafikwa na hali hiyo hadi umzindue.angalau kwa kumuita jina au kumshugulisha na kitu kingine.
utabibu na imani vyote vinahusika.idipokua utabibu ndio chanzo kikuu.
 
Back
Top Bottom