Kwa muktadha ambao umeuliza swali lako.Kwa muktadha upi ?
Sasa kama jambo halijathibitishika, Utahitimishaje kusema kwamba ni ukweli?Kwangu mimi, Imani ni kukubali ukweli wa jambo lisiloweza kuthibitishwa.
Maluweluwe au DudumiziHallucination
Babayangu hapo utakesha mimi ngoja niwaache huyo hua hakubari kushindwa km KirangaKwa muktadha upi ?
ubaya ubwelaImani ni nini?
Yes sasa hapa naanza kupata mwanga naomba basi uelezee japo kidogo tu. Kwamba ni tendo la kiimani au ni hali tu ya ubongo unavyopambana kukaa sawa pale unapokuwa na depression ya hali ya juu.. .Halicination ni matokeo ya imani mfu yaani imani isiyo na matendo, mfano mtu kutaka kuwa na fedha bila kufanya lazi akiamini kuna mtu mahali atamtafuta na kumpatia fedha.
Kianzilishi ni matumizi ya mara kwa mara ya mtishambaJe, hii hali inatokana na nini ? Au nini kianzilishi cha hali hii ?
chanzo ni swala la kitabibu matokeo ni imani ya kuamini kitu kisichokuwepo.na mtu akishafikwa na hali hiyo hadi umzindue.angalau kwa kumuita jina au kumshugulisha na kitu kingine.Yes sasa hapa naanza kupata mwanga naomba basi uelezee japo kidogo tu. Kwamba ni tendo la kiimani au ni hali tu ya ubongo unavyopambana kukaa sawa pale unapokuwa na depression ya hali ya juu.. .
Wewe unasimamia nini?Unajuaje huyu hakubali kushindwa na huyu anasimamia ukweli, uthabiti na uhakiki wa mantiki ya hoja tu?
Mimi nasimamia kukuuliza swali hili.Wewe unasimamia nini?