Kwani siku hizi hao madada wanajioa wenyewe, madada kwa madada tu?LEO NIMEWAWAZIA SANA MADADA ZANGU WA JF
TOKA NIIINGIE SIJAWAHI SIKIA MKARIBISHO WA HARUSI HADHARAN
NAWAZA MMEAMUA.KUWA MA SINGLE.MAZA AMA NDIO ILE MMEPIGA KIMYA KIMYA TUKUTANE NYUMBAN
OTHERWISE NAWATAKIA NDOA NJEMA WOTEE WANAOSUBIRIA MUME[SIO WA MTU]
MUNGU AKAWAPE WA KUFANANA NA NYIE. UKIINGIA USIPIGE KELELE HUYOO N WAKOO
SISI
HUKUU TUSHASEMAA NENDAAAA NEENDAAA NEEENDA MUNGU AKUSAIDIE
HATUJUII WIMBO WA KURUDIIIII. HATA KAMUSI YA WANANDOA HAINA HIOOO
ALL D BEST
Hakuna mke humu, mtu anayelala anaota JF, mtu akiamka kabla ya kufanya usafi hata kufua nyupi yake tu hafui anakimbilia JF, hakuna mke hapa!
Hawa hawa feminist unategemea nani atawaweka ndani wamsumbue. Hao ni wa kupiga na kusepa.
After all, wengi wao ni single mamas.
Humu wote maji ya jioni na singo mamas sura za babu nq zmeungua na vipodoz vikal, wajuaji na wajeur
π π π π π alooooHumu wote maji ya jioni na singo mamas sura za babu nq zmeungua na vipodoz vikal, wajuaji na wajeur
Umeandika kwa hasira sana π’Hakuna mke humu, mtu anayelala anaota JF, mtu akiamka kabla ya kufanya usafi hata kufua nyupi yake tu hafui anakimbilia JF, hakuna mke hapa!
Utani wa mabanzi huu.Umeandika kwa hasira sana
Asante studio πHakuna mke humu, mtu anayelala anaota JF, mtu akiamka kabla ya kufanya usafi hata kufua nyupi yake tu hafui anakimbilia JF, hakuna mke hapa!
Ukweli na uhakika.Asante studio