👇HAYA MASWALI YOTE HAPA CHINI..
1. Sina Hamu ya Tendo la Ndoa, Chanzo ni Nini ?
2. Nawahi Sana Kumwaga Raundi ya Kwanza, Hivi Inasababisha na nini ?
3. Nikimwaga Bao la Kwanza, nashindwa Kurudia la Pili, Sijui Shida ni Nini ?
4. Natoa Mbegu Nyepesi, Shida ni Nini Mkuu ?
5. Uume Unalala Ghafla nikimuandaa Mwanamke au Nikiwa Katikati ya tendo, sijui inakuwaje ?
👆HAYO YOTE NI MASWALI, AMBAYO KILA SIKU NAYAPOKEA.
🚨UNATAKA UFAHAMU CHANZO CHAKE CHA HIZO KESI ZOTE NI NINI ?
Basi Leo Nimekuandikia Sababu na Chanzo cha Hayo Yote.
1️⃣PUNYETO au KUJICHUA
- Hii ni sababu Kuu kabisa kwa watu walio wengi kwasababu ya namba kubwa ya vijana wanaofanya huu mchezo, mwisho wa siku inapelekea misuli na mishipa ya Uume kudhoofu na kushindwa kumudu tendo la ndoa
2️⃣LISHE DUNI
- Hapa ni suala zima la Chakula, Yaani namna tunatumia sana vyakula vya kisasa na ambavyo vina kemikali na sumu nyingi, hivyo kupelekea miili yetu kujaa sumu zitokanazo na vyakula na kusababisha via vya uzazi kudhoofu
- Mfano, Vyakula vinavyokuzwa kwa muda mfupi, kwa kutumia kemikali
3️⃣UNENE na KITAMBI
- Huu ni Ukweli ambao kwa mtu mwenye kitambi na Unene anaweza akachukia kuuona, lakini lazima atambue mafuta yaliyojaa kwenye mwili wake yanazuia mzunguko mzuri wa damu kufika kwenye via vya uzazi wa kiume
- Unene unasababisha Kuchoka kwa haraka, Kisukari na hata presha
4️⃣MAGONJWA
- Magonjwa Kama Kisukari, Presha, Ngiri, Vidonda vya tumbo, Tezidume, na Bawasili ni Chanzo kikubwa sana kwa wanaume wote, maana zamani tulizoea haya magonjwa ni ya wazee lakini cha ajabu sasahivi hadi vijana wadogo wanasumbuliwa nayo.
- Tunashauri Kapime na Utibu haya magonjwa kwanza ndio utibu Nguvu za Kiume
5️⃣POMBE na SIGARA
- Yes, huu ni ukweli ambao walevi na wavuta sigara hawatotaka kuusikia, lakini ndio Visababishi pia vikubwa kwasababu vinaenda kudhoofisha Figo na Mapafu ambayo utayahitaji kupata Pumzi ya kutosha kupiga show.
- Sigara na Pombe vinatengeneza sumu kubwa mwilini hivyo kupelekea wewe Mwanaume kushindwa kupafomu vizuri tendo.
🫰MWISHO KABISA
- Kuna sababu Ndogondogo pia zinazopelekea hili tatizo, kama Stress au Msongo wa Mawazo, Sababu za Uchawi na Ulozi..
🙏Mpaka Hapo, Natumaini Utakuwa Umeshafahamu Ni kipi kati ya Hayo mambo Matano (5) Niliyotaja Yanasababisha Wewe Kidume Uhangaike na hilo Tatizo.
✅FANYIA KAZI SASA KUTIBU TATIZO LAKO KWA KUANZA KIDUME PROGRAMU