Madada wa JF mnaolewa lini mbona hakuna mwaliko wa harusi ama ndio kimya kimya kama za mkeka?

Wengine tumepoteza hisia na wake zetu tunawaona kama kero pia hatuna hamu nao tena ila mnala unasoma twafanyaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…