babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
shem wewe shem!asa si mnavumilia,hao jamaa wenyewe nao si lolote wanatulia wakiwa wamechoka na wao ni longolongo tu wakizikamata.na nyie longolongo imezidi bana aaaah!!!
sikuelewi unaongea nini hapo.Jipange Upya... Kuanza upya si ujinga!
mkuu kuna mahali huwa nabakia kuwaangalia tu wanavyopotezwa,noma sanaBabuKijana uko sawa kabisaaaaa. dadazetu sijui wamerogwa na foreigners!!! hawakatai hata km huyo mtu huko anakotoka ni sawa na manzese lkn utasikia mdada anajisifu eti Msauzi yulee. aibu tupu wanaishia kudanganywa tu na kuachwa solemba hapa bongo
hawa sister zetu sijui vipi,unaweza kuta mtu wa maana unamfatilia kiukweli lakini anakuletea miyeyusho kibao,halafu sasa unakuja kuta kuna lofa mmoja either katoka congo,malawi,,burundi,zambia,nigeria ndio usiseme wanawaona kama wazungu, yaani popote almradi tu sio mtanzania,hata awe katoka kabul afghanistan poa tu,mbaya zaidi waweza sema anatafuta maslahi,unaweza kuta jamaa mwenyewe choka mbaya sana,lakini demu yuko tayari hata kufanya uchangu kwa majamaa mengine,ili tu aendelee kumpa gud tyme huyo huyo jamaa yake foreigner,dah mie hapo huwa ndio nashindwa kuwaelewa kabisa,so cheap stuff,kwanini mnafanya mambo haya lakini,naomba mtujibu pulizz.
BabuKijana uko sawa kabisaaaaa. dadazetu sijui wamerogwa na foreigners!!! hawakatai hata km huyo mtu huko anakotoka ni sawa na manzese lkn utasikia mdada anajisifu eti Msauzi yulee. aibu tupu wanaishia kudanganywa tu na kuachwa solemba hapa bongo
mkuu mi siwahitaji,ila huwa nawaona tu wanavyowashobokea hawa jamaa,yaani mpaka aibu kuona ni wabongo wenzio.Hiyo hasira siyo bure! Endelea kujaribu bahati yako, ipo siku utakuna na wako. Hao siyo wako au wewe ndo una vituko zaidi yao!
Hiyo hasira siyo bure! Endelea kujaribu bahati yako, ipo siku utakuna na wako. Hao siyo wako au wewe ndo una vituko zaidi yao!
hawa sister zetu sijui vipi,unaweza kuta mtu wa maana unamfatilia kiukweli lakini anakuletea miyeyusho kibao,halafu sasa unakuja kuta kuna lofa mmoja either katoka congo,malawi,,burundi,zambia,nigeria ndio usiseme wanawaona kama wazungu, yaani popote almradi tu sio mtanzania,hata awe katoka kabul afghanistan poa tu,mbaya zaidi waweza sema anatafuta maslahi,unaweza kuta jamaa mwenyewe choka mbaya sana,lakini demu yuko tayari hata kufanya uchangu kwa majamaa mengine,ili tu aendelee kumpa gud tyme huyo huyo jamaa yake foreigner,dah mie hapo huwa ndio nashindwa kuwaelewa kabisa,so cheap stuff,kwanini mnafanya mambo haya lakini,naomba mtujibu pulizz.
i dnt think kama huwa wanakuwa na mapenzi ya ukweli,for the matter of fact mwisho huwa mnakuja kuachwa solemba tu na kubaki na majonzi,maana ninavyojua hawa watu huwa wanadumisha mila,kwa swala la mwenza wa ukweli wanaenda kuchukua kwao.Chimu jaribuni kutuelewa, hamna asiyetaka mapenzi ya kweli hiii yote ni kutapatapa kumtafuta yule unayedhani ndo atakupa unachokitaka......and not otherwise!!!
mkuu mi siwahitaji,ila huwa nawaona tu wanavyowashobokea hawa jamaa,yaani mpaka aibu kuona ni wabongo wenzio.
i dnt think kama huwa wanakuwa na mapenzi ya ukweli,for the matter of fact mwisho huwa mnakuja kuachwa solemba tu na kubaki na majonzi,maana ninavyojua hawa watu huwa wanadumisha mila,kwa swala la mwenza wa ukweli wanaenda kuchukua kwao.
mkuu mi siwahitaji,ila huwa nawaona tu wanavyowashobokea hawa jamaa,yaani mpaka aibu kuona ni wabongo wenzio.
khaaaa!!!Kaka agheri nawe umeliona na kuamua kuliweka hapa JF, huu ni ukweli mtupu hawa dada zetu wanawababaikia sana wageni wakati hawana lolote si chochote.Mi nafikiri ni ushamba tu na mawazo mafupi kuwa labda atamtoa hela ndefu au ataondoka nae.Jirekebisheni dada zetu mnatutia aibu.
na hilo hasa ndo tatizo la binadamu (wake kwa waume) tunaangalia sana mapungufu ya wengine tunajisahau wenyewe thinking we angels sent from heaven!!!
Kwa mtu aliyesoma post yako ya kwanza ni vigumu kuamini kama ni wewe unayekuja na kauli hii. Kama huwahitaji sasa hii hadithi yote ya nini? Halafu sina hakika kama umetembelea nchi nyingine. Hali huwa kama hivi, mgeni anakuwa na mvuto fulani. Hebu achana nao kama huwahitaji na usiwasakame bure!
kaka DC mwache BK leo ni 'mouthpiece' yenu sijui niseme hivyo.........
hatuhitaji n yet hez complaining...............on u guys behalf!!!