Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
hahahaaaa juicy gani??
Ya Bamia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaaa juicy gani??
hawa sister zetu sijui vipi,unaweza kuta mtu wa maana unamfatilia kiukweli lakini anakuletea miyeyusho kibao,halafu sasa unakuja kuta kuna lofa mmoja either katoka congo,malawi,,burundi,zambia,nigeria ndio usiseme wanawaona kama wazungu, yaani popote almradi tu sio mtanzania,hata awe katoka kabul afghanistan poa tu,mbaya zaidi waweza sema anatafuta maslahi,unaweza kuta jamaa mwenyewe choka mbaya sana,lakini demu yuko tayari hata kufanya uchangu kwa majamaa mengine,ili tu aendelee kumpa gud tyme huyo huyo jamaa yake foreigner,dah mie hapo huwa ndio nashindwa kuwaelewa kabisa,so cheap stuff,kwanini mnafanya mambo haya lakini,naomba mtujibu pulizz.
sio mfano mmoja shem huwa sometime nawaona mpaka wanafikia kugombana kisa wanamgombea mganda mara msenegal mara mkongoman,na hapo ni marafiki,inatia aibu,ila mi sijali ni maisha yao,but si unajua hapa tunaangalia tu inakuwajesasa research moja usiniambie ndo ukadraw conclusion shem......
hakuna formula hapa bwana, ukimpata amabye u were meant for each other haya....hamna cha mmbongo wala mbrain.............
mbona unatetea sana upande mwingine mzee,kutembea nchi nyingine sio tatizo hata huko ni hayohayo tu nawaona wanavyofanya ni kama bongo tu,kwahiyo usidhani naongea kitu ambacho sina uhakika nacho,mi nawapenda kiurafiki zaidi,lakini mahusiano walishanishinda.
belly mimi nimeongelea tu haijanitokea nawaona tu hapa wanavyopapatikia jamaa yeyote kutoka nje ya tz hata awe mchovu vp.BabuKijana
Relax kwanza, kama imekutokea na hali tu ya maisha ila siyo ladies wote wanapapatikia hao foreigners. Hujakutana na wanaotukuza vya asili wewe, vumilia utapata mkuu ila uwe na malengo na siyo uwe mzugaji.
wewe naona huna experience na hao unawaita dada zako wewe,wengine tushawahi kuvurugwa nao vibaya sana,kupigwa bao mimi siwezi sababu huwa siskilizii mapenzi siku hizi.Sasa kama tatizo liko hadi nchi nyingine mbona unawashutumu dada zetu wa Bongo kana kwamba ndio ultimate sinners wa hii dunia. Kuwa fair basi ubadili heading uongee kijumla jumla. Kama yamekukuta ukapigwa bao basi chukulia ni suala la kawaida kama ambavyo unaweza kumpiga chini GF wako.
Mimi sitetei upande wowote ila sijaona hoja yoyote ya msingi kwenye tuhuma zako kwa dada zetu.
sio mfano mmoja shem huwa sometime nawaona mpaka wanafikia kugombana kisa wanamgombea mganda mara msenegal mara mkongoman,na hapo ni marafiki,inatia aibu,ila mi sijali ni maisha yao,but si unajua hapa tunaangalia tu inakuwaje
belly mimi nimeongelea tu haijanitokea nawaona tu hapa wanavyopapatikia jamaa yeyote kutoka nje ya tz hata awe mchovu vp.
juzi juzi tena mdada mwengine ninamuheshimu kweli,kampa pepa jamaa mkenya,jamaa kapiga fix yuko alone,mama kafanya harusi gharama kwake,na kila kitu kwake,kumbe mshkaji ana mke na watoto watatu kenya,sasa hivi mkenye ni tripu za kwenda kenya kila siku kucheki family,na nadhani dhumuni ni kusubiria apate visa ya jumla alete familia,mama aliyemuoa naona kashagundua kama kaingia mkenge kakonda kama muwa sasaivi.tunamuangalia tu
Unaweza kutoa mfano hai ?
juzi juzi tena mdada mwengine ninamuheshimu kweli,kampa pepa jamaa mkenya,jamaa kapiga fix yuko alone,mama kafanya harusi gharama kwake,na kila kitu kwake,kumbe mshkaji ana mke na watoto watatu kenya,sasa hivi mkenye ni tripu za kwenda kenya kila siku kucheki family,na nadhani dhumuni ni kusubiria apate visa ya jumla alete familia,mama aliyemuoa naona kashagundua kama kaingia mkenge kakonda kama muwa sasaivi.tunamuangalia tu
he hee,masa mimi kigugumizi sina,nikiwa anga hizo nang´oa gari hata iwe nzito vipi na nikimalizana nayo nakula kona.Mzee ninahisi unakigugumizi kwenye kuelezea issues .....unaishia kujisifu umetokea Tanzania, ndugu zako mafisadi eti halafu unategemea huruma kwa dada zetu! Mwaga nyimbo ueleweke na usikike.....teh teh teh teh
wewe naona huna experience na hao unawaita dada zako wewe,wengine tushawahi kuvurugwa nao vibaya sana,kupigwa bao mimi siwezi sababu huwa siskilizii mapenzi siku hizi.
na mind pale ninapowaona wananyongonyea baada ya kuingizwa mkenge tu,kisha unamuona mitaani jamaa anajisifia kwamba nyie watanzania mko low sana.hapo ndio kero yangu mimi.Ungekuwa kweli unayajua hayo, basi huu mjadala usingekuwepo. Labda useme una-mind mara moja moja!
he hee,masa mimi kigugumizi sina,nikiwa anga hizo nang´oa gari hata iwe nzito vipi na nikimalizana nayo nakula kona.
Mkuu Kero, mbona sasa unataka kuwe kero kweli kweli? Hapa unamwongelea nani? Bht na nani? This is a kind of personal attack and you need to be careful.
Kwani hao wadada unaowaongelea wako chini ya miaka 18 kwamba hawawezi kufanya maamuzi? Na hizo allegations za ukimwi na uchafu mwingine zinatokea wapi? Kama mbaazi zimekosa maua basi zitafute sababu na si kila kitu kinatokana na jua. Nimekereka sana na comment zako ambazo zinawakosea heshima dada zetu.
unajua shem huwa tunatofautiana wapi?mi ninapokuwa nazungumzia wadada wa kibongo,i dnt mean wote wako hivyo,kuna ambao pia wametulia sana tu nakubali,but majority ndio wenye matatizo tena makubwa kwenye swala hilo,isikuumize kichwa yawezekana wewe ni mmojawapo katika minority ya hao wako innocent,ni mtazamo tu.shem bana mi sioni tuna lumbana kwa lipi hapa
ukweli ni kwamba hakuna wa kubebeshwa lawama
hata mimi (na wenzangu lukuki) nishawa kuwa disapointed na 'nyie' wanaume wa bongo....so wat???
should i jump to a onclusion that wote ndo mko hivo??
he hee,masa mimi kigugumizi sina,nikiwa anga hizo nang´oa gari hata iwe nzito vipi na nikimalizana nayo nakula kona.
na mind pale ninapowaona wananyongonyea baada ya kuingizwa mkenge tu,kisha unamuona mitaani jamaa anajisifia kwamba nyie watanzania mko low sana.hapo ndio kero yangu mimi.
shem bana mi sioni tuna lumbana kwa lipi hapa
ukweli ni kwamba hakuna wa kubebeshwa lawama
hata mimi (na wenzangu lukuki) nishawa kuwa disapointed na 'nyie' wanaume wa bongo....so wat???
should i jump to a onclusion that wote ndo mko hivo??
pole usimind shem tunachangamsha baraza tu.u are not worth my time
sorry to say so shem......
unajua shem huwa tunatofautiana wapi?mi ninapokuwa nazungumzia wadada wa kibongo,i dnt mean wote wako hivyo,kuna ambao pia wametulia sana tu nakubali,but majority ndio wenye matatizo tena makubwa kwenye swala hilo,isikuumize kichwa yawezekana wewe ni mmojawapo katika minority ya hao wako innocent,ni mtazamo tu.