madada wa kibongo kwanini mko hivi??why?

hawa sister zetu sijui vipi,unaweza kuta mtu wa maana unamfatilia kiukweli lakini anakuletea miyeyusho kibao,halafu sasa unakuja kuta kuna lofa mmoja either katoka congo,malawi,,burundi,zambia,nigeria ndio usiseme wanawaona kama wazungu, yaani popote almradi tu sio mtanzania,hata awe katoka kabul afghanistan poa tu,mbaya zaidi waweza sema anatafuta maslahi,unaweza kuta jamaa mwenyewe choka mbaya sana,lakini demu yuko tayari hata kufanya uchangu kwa majamaa mengine,ili tu aendelee kumpa gud tyme huyo huyo jamaa yake foreigner,dah mie hapo huwa ndio nashindwa kuwaelewa kabisa,so cheap stuff,kwanini mnafanya mambo haya lakini,naomba mtujibu pulizz.

BabuKijana

Relax kwanza, kama imekutokea na hali tu ya maisha ila siyo ladies wote wanapapatikia hao foreigners. Hujakutana na wanaotukuza vya asili wewe, vumilia utapata mkuu ila uwe na malengo na siyo uwe mzugaji.
 
sasa research moja usiniambie ndo ukadraw conclusion shem......

hakuna formula hapa bwana, ukimpata amabye u were meant for each other haya....hamna cha mmbongo wala mbrain.............
sio mfano mmoja shem huwa sometime nawaona mpaka wanafikia kugombana kisa wanamgombea mganda mara msenegal mara mkongoman,na hapo ni marafiki,inatia aibu,ila mi sijali ni maisha yao,but si unajua hapa tunaangalia tu inakuwaje
 
mbona unatetea sana upande mwingine mzee,kutembea nchi nyingine sio tatizo hata huko ni hayohayo tu nawaona wanavyofanya ni kama bongo tu,kwahiyo usidhani naongea kitu ambacho sina uhakika nacho,mi nawapenda kiurafiki zaidi,lakini mahusiano walishanishinda.

Sasa kama tatizo liko hadi nchi nyingine mbona unawashutumu dada zetu wa Bongo kana kwamba ndio ultimate sinners wa hii dunia. Kuwa fair basi ubadili heading uongee kijumla jumla. Kama yamekukuta ukapigwa bao basi chukulia ni suala la kawaida kama ambavyo unaweza kumpiga chini GF wako.

Mimi sitetei upande wowote ila sijaona hoja yoyote ya msingi kwenye tuhuma zako kwa dada zetu.
 
BabuKijana

Relax kwanza, kama imekutokea na hali tu ya maisha ila siyo ladies wote wanapapatikia hao foreigners. Hujakutana na wanaotukuza vya asili wewe, vumilia utapata mkuu ila uwe na malengo na siyo uwe mzugaji.
belly mimi nimeongelea tu haijanitokea nawaona tu hapa wanavyopapatikia jamaa yeyote kutoka nje ya tz hata awe mchovu vp.
 
Sasa kama tatizo liko hadi nchi nyingine mbona unawashutumu dada zetu wa Bongo kana kwamba ndio ultimate sinners wa hii dunia. Kuwa fair basi ubadili heading uongee kijumla jumla. Kama yamekukuta ukapigwa bao basi chukulia ni suala la kawaida kama ambavyo unaweza kumpiga chini GF wako.

Mimi sitetei upande wowote ila sijaona hoja yoyote ya msingi kwenye tuhuma zako kwa dada zetu.
wewe naona huna experience na hao unawaita dada zako wewe,wengine tushawahi kuvurugwa nao vibaya sana,kupigwa bao mimi siwezi sababu huwa siskilizii mapenzi siku hizi.
 
sio mfano mmoja shem huwa sometime nawaona mpaka wanafikia kugombana kisa wanamgombea mganda mara msenegal mara mkongoman,na hapo ni marafiki,inatia aibu,ila mi sijali ni maisha yao,but si unajua hapa tunaangalia tu inakuwaje

Ungekuwa kweli unayajua hayo, basi huu mjadala usingekuwepo. Labda useme una-mind mara moja moja!
 
belly mimi nimeongelea tu haijanitokea nawaona tu hapa wanavyopapatikia jamaa yeyote kutoka nje ya tz hata awe mchovu vp.

Mzee ninahisi unakigugumizi kwenye kuelezea issues .....unaishia kujisifu umetokea Tanzania, ndugu zako mafisadi eti halafu unategemea huruma kwa dada zetu! Mwaga nyimbo ueleweke na usikike.....teh teh teh teh
 
Unaweza kutoa mfano hai ?
juzi juzi tena mdada mwengine ninamuheshimu kweli,kampa pepa jamaa mkenya,jamaa kapiga fix yuko alone,mama kafanya harusi gharama kwake,na kila kitu kwake,kumbe mshkaji ana mke na watoto watatu kenya,sasa hivi mkenye ni tripu za kwenda kenya kila siku kucheki family,na nadhani dhumuni ni kusubiria apate visa ya jumla alete familia,mama aliyemuoa naona kashagundua kama kaingia mkenge kakonda kama muwa sasaivi.tunamuangalia tu
 
lahaula wala kwata ila billah!
 
Mzee ninahisi unakigugumizi kwenye kuelezea issues .....unaishia kujisifu umetokea Tanzania, ndugu zako mafisadi eti halafu unategemea huruma kwa dada zetu! Mwaga nyimbo ueleweke na usikike.....teh teh teh teh
he hee,masa mimi kigugumizi sina,nikiwa anga hizo nang´oa gari hata iwe nzito vipi na nikimalizana nayo nakula kona.
 
wewe naona huna experience na hao unawaita dada zako wewe,wengine tushawahi kuvurugwa nao vibaya sana,kupigwa bao mimi siwezi sababu huwa siskilizii mapenzi siku hizi.

shem bana mi sioni tuna lumbana kwa lipi hapa
ukweli ni kwamba hakuna wa kubebeshwa lawama
hata mimi (na wenzangu lukuki) nishawa kuwa disapointed na 'nyie' wanaume wa bongo....so wat???
should i jump to a onclusion that wote ndo mko hivo??
 
Ungekuwa kweli unayajua hayo, basi huu mjadala usingekuwepo. Labda useme una-mind mara moja moja!
na mind pale ninapowaona wananyongonyea baada ya kuingizwa mkenge tu,kisha unamuona mitaani jamaa anajisifia kwamba nyie watanzania mko low sana.hapo ndio kero yangu mimi.
 
he hee,masa mimi kigugumizi sina,nikiwa anga hizo nang´oa gari hata iwe nzito vipi na nikimalizana nayo nakula kona.

u are not worth my time
sorry to say so shem......
 
Mkuu Kero, mbona sasa unataka kuwe kero kweli kweli? Hapa unamwongelea nani? Bht na nani? This is a kind of personal attack and you need to be careful.

Kwani hao wadada unaowaongelea wako chini ya miaka 18 kwamba hawawezi kufanya maamuzi? Na hizo allegations za ukimwi na uchafu mwingine zinatokea wapi? Kama mbaazi zimekosa maua basi zitafute sababu na si kila kitu kinatokana na jua. Nimekereka sana na comment zako ambazo zinawakosea heshima dada zetu.

halafu dada zenu sisi jamani ni wazuri/warembo, nimefanya kazi na hao wa niger/cameroun hakuna kitu, na tunajitambua pia, sio wote wapo mnavyofikiria ni hizo asilimia chache mlizokutana nazo.
 
shem bana mi sioni tuna lumbana kwa lipi hapa
ukweli ni kwamba hakuna wa kubebeshwa lawama
hata mimi (na wenzangu lukuki) nishawa kuwa disapointed na 'nyie' wanaume wa bongo....so wat???
should i jump to a onclusion that wote ndo mko hivo??
unajua shem huwa tunatofautiana wapi?mi ninapokuwa nazungumzia wadada wa kibongo,i dnt mean wote wako hivyo,kuna ambao pia wametulia sana tu nakubali,but majority ndio wenye matatizo tena makubwa kwenye swala hilo,isikuumize kichwa yawezekana wewe ni mmojawapo katika minority ya hao wako innocent,ni mtazamo tu.
 
he hee,masa mimi kigugumizi sina,nikiwa anga hizo nang´oa gari hata iwe nzito vipi na nikimalizana nayo nakula kona.

nadhani hujui unaongea nini sasa......ona hapa chini

na mind pale ninapowaona wananyongonyea baada ya kuingizwa mkenge tu,kisha unamuona mitaani jamaa anajisifia kwamba nyie watanzania mko low sana.hapo ndio kero yangu mimi.

kwa hiyo unahalalisha sisi kutumiwa kishenzi shenzi na nyie lakini si watu wengine eeeh
pity...!!!
 
shem bana mi sioni tuna lumbana kwa lipi hapa
ukweli ni kwamba hakuna wa kubebeshwa lawama
hata mimi (na wenzangu lukuki) nishawa kuwa disapointed na 'nyie' wanaume wa bongo....so wat???
should i jump to a onclusion that wote ndo mko hivo??

Hapana B, huko usifike. Utajinyonga bure wakati kuna watu wanatamani Mungu awape bahati ya kuongea walau neno moja na wewe. Ndo maana mimi sipendi watu wanaoongea kijumla jumla katika mambo ambayo ni personal attributes.
 
unajua shem huwa tunatofautiana wapi?mi ninapokuwa nazungumzia wadada wa kibongo,i dnt mean wote wako hivyo,kuna ambao pia wametulia sana tu nakubali,but majority ndio wenye matatizo tena makubwa kwenye swala hilo,isikuumize kichwa yawezekana wewe ni mmojawapo katika minority ya hao wako innocent,ni mtazamo tu.

aaaah wapi hata wanaume ni hivo hivo tu

hapa bila bila huniambii kitu
wapo wanaume serious na wengine kama wewe...ukimaliza shuguli yako na ngoma unaitema
na wanawake hivo hivo...........
 
Back
Top Bottom