Madada wa kishua wote wakali!

Hakuna demu mbaya mkuu...demu matunzo tu,hao unawaona wakali kwa sabb mazingira mliyopo masafi hivo c rahisi kuona demu wa kawaida.
Ni kweli, lakini tunatumia neno hilo si kwa ubaya bali ni kwa kuwatofautisha kutokana na namna tunavyoona. Wanasema uzuri upo machoni.

Ndio maana kuna demu kwangu mimi nitamuona mkali ila kwako utamuona kama utopolo tu
 
Nakubali mkuu 'Actually'
 
Kuna muda niliiona pisi moja kali imekatiza karibu yangu nikaogopa hata kumsogelea.

Nikawa najisemea moyoni, "Hivi nikipata demu mkali kama huyu kwanini nisitulie nikaacha ujinga wote?!"
 
Ukiwaoa jiandae kula ubawabwa ulio kama uji!

Mana hawajui kufanya kazi yeyote ya ndani!

Sasa kwangu mimi mwanamke akikosa hivyo vihezi namuona taka tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una laana wewe! Kwahiyo maza na sister zako nao kina Mwajuma chupi kubwaa??!
 
Ni Myth tu nakumbuka mtoto wa Anna Abdallah alikuwa na Sura ya kawaida sema tu MSAMBWANDA ulimbeba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…