Madada wa kishua wote wakali!

Madada wa kishua wote wakali!

Hakuna demu mbaya mkuu...demu matunzo tu,hao unawaona wakali kwa sabb mazingira mliyopo masafi hivo c rahisi kuona demu wa kawaida.
Ni kweli, lakini tunatumia neno hilo si kwa ubaya bali ni kwa kuwatofautisha kutokana na namna tunavyoona. Wanasema uzuri upo machoni.

Ndio maana kuna demu kwangu mimi nitamuona mkali ila kwako utamuona kama utopolo tu
 
Nakubali mkuu 'Actually'
Hakuna demu wa kishua aliyekuwa mbaya, wote ni wakali..

Jana nilialikwa na mchizi wangu sana tuliesoma pamoja sekondari. Yeye anaishi maeneo ya Oesterbay na familia yake. Ukizingatia location unaona kabisa kwamba kwao milioni 2 ni ya mboga tu!

Kulikuwa na mlo wa pamoja wa mchana na ka-party kadogo tu humo humo ndani, kwahiyo wazee wake wakataka wanae wawaalike rafiki zao ili tuweze kujumuika, kujuana na kusherehekea kwa pamoja. Kwahiyo mwanangu mwenyewe hakunisahau!

Basi bhana, sherehe ilifana sana. Tulipiga vinywaji na misosi ya nguvu tu.
Majority ya watu waliokusanyika pale walikuwa ni wadhi ya juu, ushua ulitawala sana mule ndani. Ikabidi na mimi nijitahidi ku-cope kidogo na mazingira ya mule ndani ili tuweze kwenda sawa.

Sasa mimi ni mtu wa totoz sana, na ni kawaida yangu ninapoingia kwenye sherehe au kumbi yoyote ile ya starehe ni lazima macho yangu yawe juu juu kila wakati kama Midfield anapokuwa uwanjani.

Kwa kipindi chote nilichokuwa pale, hakuna demu mbovu hata mmoja aliekatiza kwenye macho yangu. Wote walikua wakali![emoji91][emoji91]

Hii inanipeleka kwenye hitimisho langu kuwa hakuna demu wa kishua ambae ni mbaya, sababu ni hizi:

1. Wanakula vizuri
2. Wanalala pazuri
3. Wanaoga vizuri na matunzo ya kutosha.
4. Pesa kwao sio tatizo.
5. Wana muda mzuri wa kupumzika na kuenjoy maisha ( yani no stress).

Ukitaka kujua kinyume chake ni ukweli, wee njoo mtaani kwetu huku uwaone wakina Mwajuma Chupi Kubwa.
Msichana wa miaka 19 utasema ana miaka 40!
 
Kuna muda niliiona pisi moja kali imekatiza karibu yangu nikaogopa hata kumsogelea.

Nikawa najisemea moyoni, "Hivi nikipata demu mkali kama huyu kwanini nisitulie nikaacha ujinga wote?!"
 
Ukiwaoa jiandae kula ubawabwa ulio kama uji!

Mana hawajui kufanya kazi yeyote ya ndani!

Sasa kwangu mimi mwanamke akikosa hivyo vihezi namuona taka tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una laana wewe! Kwahiyo maza na sister zako nao kina Mwajuma chupi kubwaa??!
 
Hakuna demu wa kishua aliyekuwa mbaya, wote ni wakali..

Jana nilialikwa na mchizi wangu sana tuliesoma pamoja sekondari. Yeye anaishi maeneo ya Oesterbay na familia yake. Ukizingatia location unaona kabisa kwamba kwao milioni 2 ni ya mboga tu!

Kulikuwa na mlo wa pamoja wa mchana na ka-party kadogo tu humo humo ndani, kwahiyo wazee wake wakataka wanae wawaalike rafiki zao ili tuweze kujumuika, kujuana na kusherehekea kwa pamoja. Kwahiyo mwanangu mwenyewe hakunisahau!

Basi bhana, sherehe ilifana sana. Tulipiga vinywaji na misosi ya nguvu tu.
Majority ya watu waliokusanyika pale walikuwa ni wadhi ya juu, ushua ulitawala sana mule ndani. Ikabidi na mimi nijitahidi ku-cope kidogo na mazingira ya mule ndani ili tuweze kwenda sawa.

Sasa mimi ni mtu wa totoz sana, na ni kawaida yangu ninapoingia kwenye sherehe au kumbi yoyote ile ya starehe ni lazima macho yangu yawe juu juu kila wakati kama Midfield anapokuwa uwanjani.

Kwa kipindi chote nilichokuwa pale, hakuna demu mbovu hata mmoja aliekatiza kwenye macho yangu. Wote walikua wakali![emoji91][emoji91]

Hii inanipeleka kwenye hitimisho langu kuwa hakuna demu wa kishua ambae ni mbaya, sababu ni hizi:

1. Wanakula vizuri
2. Wanalala pazuri
3. Wanaoga vizuri na matunzo ya kutosha.
4. Pesa kwao sio tatizo.
5. Wana muda mzuri wa kupumzika na kuenjoy maisha ( yani no stress).

Ukitaka kujua kinyume chake ni ukweli, wee njoo mtaani kwetu huku uwaone wakina Mwajuma Chupi Kubwa.
Msichana wa miaka 19 utasema ana miaka 40!
Ni Myth tu nakumbuka mtoto wa Anna Abdallah alikuwa na Sura ya kawaida sema tu MSAMBWANDA ulimbeba.
 
Back
Top Bottom