Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Italy so ndo ukristu una mizizi yake ya kutosha ? Mbona walipoteza watu wengi sanaChance ya God ni mhimu Sana katika pandemic hii
Wanafeli wapi tole model wetu.?
Kwetu mbona tunapeta
Wewe utakuwa ni wale wanaohesabu shanga wakimtaja mama mmoja hivi.Italy so ndo ukristu una mizizi yake ya kutosha ? Mbona walipoteza watu wengi sana
Sent
Lumumba njoo mtoe mrejesho hapa, maana mliimba mapambio, mkatukuza, mkatukana waliosema hii togwa ni usanii etc. Njoo njo njoo huku muongee sasa! johnthebaptist
Kichwa chako kimeejaa ujinga tu.TZ tusubiri maambukizi makubwa baada ya mikutano ya CCM huko Dodoma maana si kwa starehe zile!!!! Kungwi mwenyewe, waziri wa afya, hakuvaa hata barakoa ya majani.
So kama ndo ulipoanzia?Italy so ndo ukristu una mizizi yake ya kutosha ? Mbona walipoteza watu wengi sana
Sent
Shida wewe unafikiri nguvu za Mungu zimefichwa ndani ya dini, hapana,Hivi kwa nini wafia dini huwa hamkubali opposition ?
Haya nakupa mfano mweingine Saudi Arabia ambako ndipo chimbuko la uislamu nako korona imezingua mbaya, ,
Sent
Mungu ni MKUBWA na hufanya apendavyo na hakuna limshindalo na anapoamua kufanya husema tu KUWA na KITU KIKAWA bila kujali nani ana nini na nani anasemaje.Kwingine Corona Inaua, Tanzania pekee ndio Corona haiui.
Kwingine Corona imeua uchumi, Tanzania pekee ndio Corona imekuza uchumi Hadi uchumi was kati
Italy so ndo ukristu una mizizi yake ya kutosha ? Mbona walipoteza watu wengi sana
Sent
Hapana sikuwepo Italy , for the same context hata korona haipo kabisa maana sikuwepo Wuhan , source ya taarifa za Wuhan ndio hiyo hiyo iliyonipa taarifa za mass graves Italy na SpainUlikuwepo huko Italy [emoji634] au habari umezipata kwa Juma lokole?
Hayo maambukizi wewe utayaonea wapi? maana kabla ya hiyo mikutano ya ccm kulikuwa na ile party ya kuaga corona na hadi sasa hatujaona maambukizi,ila ngoja tuone sababu kwenye huu mkutano wengi tunawajua kuna viongozi na wasanii labda tutasikia wakiumwa au hata vifo kabisa.TZ tusubiri maambukizi makubwa baada ya mikutano ya CCM huko Dodoma maana si kwa starehe zile!!!! Kungwi mwenyewe, waziri wa afya, hakuvaa hata barakoa ya majani.
Waunde tume kuchunguza na kuangalia kama wamewahi kupokea Barakoa kutoka kwa mabilionea wa kibeberu.Yule waziri aliyekejeli kuwapa pipi watoto wapoze uchungu wa covid aangaliwe nyendo zake na mahusiano yake.Huku madagascar mm napata hofu kwamba mabeberu wanaweza kua wamefanya jambo maaana sio kwa moto aliouwasha huyu raisi wao