Kabisa yaani,Mungu alishatupa uwezo wa kusolve matatizo.Inakuwaje tunampotezea tu muda wake kumwomba kitu ambacho alishatupa,ni sisi tu tunatakiwa kuweka maarifa.Tunafeli pale ilipoanza kuitwa taifa staa
Kuiombea taifa staa , ni matumizi mabaya ya maombi na kumjaribu bwana Mungu wako
Na naskia yule bwanaKabisa yaani,Mungu alishatupa uwezo wa kusolve matatizo.Inakuwaje tunampotezea tu muda wake kumwomba kitu ambacho alishatupa,ni sisi tu tunatakiwa kuweka maarifa.
hapa ndio tunafailMadagascar wanashiriki AFCON kwa mara ya kwanza,wamemtoa jasho GUINEA na leo wanamtoa Jasho Nigeria,hope watashinda.Wao kazi yao ni moja tu kusukuma ball haijalishi aliye mbele yao ni Nigeria ama GUINEA.Tanzania taifa stars tunafail wapi?
Madagascar wanashiriki AFCON kwa mara ya kwanza,wamemtoa jasho GUINEA na leo wanamtoa Jasho Nigeria,hope watashinda.Wao kazi yao ni moja tu kusukuma ball haijalishi aliye mbele yao ni Nigeria ama GUINEA.Tanzania taifa stars tunafail wapi?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mm nilishangaa sana hyu kichwa maji alienda kama nani, tobaaaaasshapa ndio tunafailView attachment 1143166
Hizo experience wanazosema wataalamu wetu nazikataa. Ukiangalia wachezaji wetu wangeweza kufanya vizuri tu kwa uzoefu huo walionao. Tatizo kocha mwenyewe pia uzoefu mdogo kuwasoma wachezaji wake na kujua kusoma mchezo wa wapinzaniMadagascar wanashiriki AFCON kwa mara ya kwanza,wamemtoa jasho GUINEA na leo wanamtoa Jasho Nigeria,hope watashinda.Wao kazi yao ni moja tu kusukuma ball haijalishi aliye mbele yao ni Nigeria ama GUINEA.Tanzania taifa stars tunafail wapi?