Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
- Thread starter
- #21
Umeona eeh. Hata mimi leo nimejiuliza hawa Madagascar wanashiriki kwa mara ya kwanza. Sisi mara ya pili baada ya miaka 39.Madagascar wamemfunga aliyewahi kuwa bingwa AFCON mara kadhaa. Sisi Senegal tulimwogopa kabla hata hatujakutana nae. Halafu tuna visingizio vya uzoefu. Hawa Madagascar wao wanashinda na leo wameongoza group.Hizo experience wanazosema wataalamu wetu nazikataa. Ukiangalia wachezaji wetu wangeweza kufanya vizuri tu kwa uzoefu huo walionao. Tatizo kocha mwenyewe pia uzoefu mdogo kuwasoma wachezaji wake na kujua kusoma mchezo wa wapinzani