Umeona eeh. Hata mimi leo nimejiuliza hawa Madagascar wanashiriki kwa mara ya kwanza. Sisi mara ya pili baada ya miaka 39.Madagascar wamemfunga aliyewahi kuwa bingwa AFCON mara kadhaa. Sisi Senegal tulimwogopa kabla hata hatujakutana nae. Halafu tuna visingizio vya uzoefu. Hawa Madagascar wao wanashinda na leo wameongoza group.Hizo experience wanazosema wataalamu wetu nazikataa. Ukiangalia wachezaji wetu wangeweza kufanya vizuri tu kwa uzoefu huo walionao. Tatizo kocha mwenyewe pia uzoefu mdogo kuwasoma wachezaji wake na kujua kusoma mchezo wa wapinzani
Kabisa football ni zaidi ya maneno. Taifa stars wanatakiwa wasiogope na waamini wanaweza kwa vitendo.Unawacha watu wa mpira kama kina Tenga, Ali Mayai, afu unamchukua mtu hajuj hata kupiga danadana achilia mbali kuitwa hata timu ya kijiji awe mhamasishaji, acha wapigwe tu.
Kama vipi wamuite Jecha akasaidie
Anaishi mang'ulaMcheza rede? Ndiyo nani mkuu?
Madagascar wanashiriki AFCON kwa mara ya kwanza,wamemtoa jasho GUINEA na leo wanamtoa Jasho Nigeria,hope watashinda.Wao kazi yao ni moja tu kusukuma ball haijalishi aliye mbele yao ni Nigeria ama GUINEA.Tanzania taifa stars tunafail wapi?
Taifa stars ya Maximo ilikuwa moyoni mwa kila mtanzania kwa kuwa ilitengwa na siasa watu wa mpira tu ndio walishiriki mpira. sasa hadi raisi wa tifutifu anaendesha nchi yake kwa siasa, unategemea kushinda bila Jecha?Kabisa football ni zaidi ya maneno. Taifa stars wanatakiwa wasiogope na waamini wanaweza kwa vitendo.
Na naskia yule bwana
Ana enjoy tu na mcheza rede wa taifa huko cairo
Yaani ni laana !
Hivyo ni visingizio tena. Hata sisi tunastahili kupata matokeo mazuri,ni mipango tu na mbinu.Tuangalia pia namna walivyofuzu ( walistahili)! Simnajua timu yetu jinsi ilivyofuzu? Tulienda kimaajabu kwahiyo hakuna ajabu kwa matokeo tulioyapata
No,tusikubali kina Bashite watuuingizie siasa kwenye football. We have to fight them back,right,left. Taifa stars ni ya Taifa siyo chama. Huyo Bashite zake zinahesabika.
Hapa umeniacha kwenye mataa ya ubungo. Mchezaji rede ndo nani ? Kwani Bashite bado hajarudi Bongo?
Jana niliona clip akiwanunulua njumu za Adidas wachezaji.Sijaona media yoyote kuripoti karudi. Si alitumwa na Baba yake akalete ushindi na kupewa bulungutu nono la kujirusha kule? Sasa atarudi vipi wakati Bulungutu bado halijakata? Kumbuka kauli yake kuhusu kufaidi CAKE ya Taifa.
Hapa umeniacha kwenye mataa ya ubungo. Mchezaji rede ndo nani ? Kwani Bashite bado hajarudi Bongo?
Bwana yule anatatuliwa k°°°°si tu , laana kabisa.Na naskia yule bwana
Ana enjoy tu na mcheza rede wa taifa huko cairo
Yaani ni laana !