Wana JF
Nimekutana na makaratasi yenye kuonyesha yameandaaliwa na Mch. C. Mtikila wa Liberty International Foundation yenye kuelekeza madai ya ekari 199 eneo la Kurasini, Dar.
Nimeonelea niambatanishe karatasi hizo ili tujadiliane. Kwa wenye ufahamu zaidi watujuze kama madai hayo yapo, na yamekaaje kwa mtazamo wa kisheria?
Nawasilisha.