Madai ekari 199 eneo la kurasini. Wanasheria hii imekaaje

Madai ekari 199 eneo la kurasini. Wanasheria hii imekaaje

Sambwisi

Senior Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
175
Reaction score
69
Wana JF

Nimekutana na makaratasi yenye kuonyesha yameandaaliwa na Mch. C. Mtikila wa Liberty International Foundation yenye kuelekeza madai ya ekari 199 eneo la Kurasini, Dar.

Nimeonelea niambatanishe karatasi hizo ili tujadiliane. Kwa wenye ufahamu zaidi watujuze kama madai hayo yapo, na yamekaaje kwa mtazamo wa kisheria?

Nawasilisha.
 

Attachments

Back
Top Bottom