MADAI: Mange Kimambi na WCB wako timu moja na wanashirikiana kutengeneza kiki!

MADAI: Mange Kimambi na WCB wako timu moja na wanashirikiana kutengeneza kiki!

Sambusa kavu

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2015
Posts
806
Reaction score
1,296
Bongo bhana mambo yamekua marahisi saaaanaaaa....

Unaweza ukakaa kuudhania yule dada maarufu kipenzi cha watu anaeaminika ma mamilioni ya watanzania.. Da Mange kwamba ana bifu kuuuuubwa sana na WCB.....mmebugiiiii

Kama ulikuwa haujui basi hawa jamaa (inadaiwa) now days they are doing bussiness...tena inawalipa vizuriii mnooooo..... Yaani umbea wetu na ufukunyuku wetu, wao ndio wameufanya mtaji.

Sema namuonea huruma yule mchaga mwenzangu Wolper hapa kazidiwa akili na kashindwa kung'amua kuwa watu wanatengeneza pesa tuu halafu yeye anajichoresha tuuu hapati hata buku.

Hivi mnajua kuwa Mange Kimambi (inasemekana) kalipwa na WCB mtonyo mzuri tuu ili aanzishe ishu ya Mzungu wa Harmo kuliwa na Mwarabu fighter?? Kwa kupenda umbea na ufukunyuku wako naona bado unashangaa tuu, tulia nikuelezee sasa...

Mwarabu fighter yupo mbioni kufungua biashara yake.. Ofcourse ni kampuni kabisa ya usalama... Kama mnavojua tena biashara ni matangazo na publicity.... so tunafanyaje ili mwarabu fighter aweze kutrend saaaana kabla ya kuilaunch hii kampuni yake?

Sikiliza mkakati sasaa (pengine ulikuwa hivi);

Kikao pale headquarter wasafi

Diamond
: Sasaa Mwarabu, inabidi tufanye kitu kwanza kabla ya kuitangaza hii kampuni yako ya ulinzi... Inabidi utrend sanaaaa ili uwe masikioni mwa watu.

Harmonize : Enheee, kweli Simba umeongea la maana sana... Mimi nina wazo

Mwarabu : Wazo lipi ilo Harmo?

Harmonize : Hapa inabidi tutengeneze kiki mitandaoni

Diamond : kiki gani italipa sana?

Mwarabu: Au boss unaonaje tukivumisha kuwa nimekupiga halafu umenifukuza kazi?

Diamond : Mmmh!! hio haitakiki sana..wabongo wanapenda mambo yetu yale ya ngono ngono ndo itatrend..si unajua tena mashirawadu kibaaao

Harmonize: daaah Simbaaaa umeuaaaa...ndo maana ukaitwa Simbaa...sasa hapa tuseme Mwarabu kanigongea mzungu wangu au mnaonaje?

Diamond & Mwarabu : hahahahahahahaha!!!...daaaah konde boy umetisha umewaza niniii...hii imetulia...tena hii kiki inabidi da mange ndo aianzishe

Diamond : K*ma makee walaah nyie watu mna akili nyingi sanaaa...ngoja nimcheki hapa sasa hivi mange tufanye mambo

Diamond na mange wanachat
Diamond : Da mangeee...nambie timu pinzaniiiii

Da mange : hahaha,sema domoo mbona asubuhi asubuhi hiviii dm jamani kuna nini tenaaaa

Diamond : we are back in bussiness da mange, this time ni mwarabu ana kampuni yake anataka kulaunch

Da mange : waaow,thats sweet of you guys...mnajua nyie wcb nawapendaga maana mnaumiza vichwa sana kujiongeza...sio kama yule seduce me,nimemseduce weee ili atoboe kaishia kwenda kuoa mombasa mmmxiiuuuu!!.....aya nipeni mkakati sasa mnatakaje?

Diamond : hahaha achana nae uyo bwana harusi,mi mwenyewe nataka nilimalize hili bifu maana naona naona jamaa kalemaa sana..badala ya yeye kuchochea moto ili tupige pesa yeye karidhika.... sasa tengeneza ishu ya mwarabu kumgonga demu wa Harmo yule mzungu wake...

Da mange: hahahahahaa uuuwiiiiiiii domo utanfanya nijambe kwa kuchekaaaa....yaaani hii kiki naituma sasa hiviii...najua itatrend fastaaaa...nyie nitumieni picha kama nne hivi za kutengeneza uthibitisho wa mapenzi yao kisha mambo mengine namaliza......ila this time unanilipa kablaa mapemaaaa...sawa domo?

Diamond : hilo limeisha da mange mi nawewe hatushindwani...kesho jioni ntakutuma dola zako $ 1,000...ila wewe hakikisha kiki unaitupia leo leo

Da mange : Poa hilo tumemaliza..acha niingie mzigoni...nitumeni sasa izo picha nilizowaomba

kikao kinaendelea...
Diamond : oyaa sas fresh,da mange nishamalizana nae....harmo ebu tafuta picha nne za shemela na mwarabu ambazo maboya wakiziona wataamini kuna utata kidogo..... halafu mwarabu hii pesa niliyompa mange itabidi unilipe baadae....hii business ujue

Mwarabu : hana noma boss mi nawewe hatushindwani bhanaa

Harmo : poa Simba ngoja nimtumie....ila sasaa nimekumbuka tena kitu...

Diamond : kitu gani tenaaa?

Harmo : hapa inabidi da mange akishapost tuu najua yule mchaga atafurahia na alivo poyoyo inabid tumtumie na yeye kuikuza hii kiki ndo itasound balaah

Diamond : asa Harmo hapo unazingua sasaaaa..sasa wolper tutamtumiaje?....halafu ujue mi natoa ela sitoi makaratasi ooohoooo

Harmo : we Simba niachie mimi,yule mchaga lakini boya,tutamtumia bila yeye kujua...hapa inabidi tumpange mwanetu Dizzim aende akamuhoji..najua ataropoka tuu si atakua kashaiona post ya mange...nasisi hapo ndo inakua ngazi ya kiki sasaaaa....au unaonaje?

Diamond : kama ni hivyo barida tuu haina shida...ila sasa msimtumie Dizzim,mkitaka ipendeze zaidi wachekini Global publisher,shilawadu au mchekini Sam misago

Harmo : yeeah iyo idea nzuri..ngoja nimcheki mwanagu Sam misago...

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Mwisho wa siku sisi wambea tuendelee na ufukunyuku wetu weee, na wanaopiga ela acha waendeleee kupiga elaaa...

Pata funzo la ujasilimali hapo.....uifikiri mtaji wa biashara ni pesa tuuuu....mazingira uliopo,jamii iliyokuzunguka na tabia zao, hali ya hewa na kila kitu ulichonacho ni mtaji tosha saaaaaaana wa kukufanya ufanikiwe.....ng'amua kwa aikili zako mwenyewe!!

mwarbu.png
 
Watu kwa uongo hamjambo...
Nina amini mange kuna mtu kamwingiza choo cha kiume kwa kumpa story ya uongo makusudi na tena mtu huyo yuko WCB kuja kushtuka akajua kawatengenezea kiki na ndiyo maana hiyo habari kaifuta.
Hakuna mambo ya kulipwa wala nini
Wahuni sio watu wazuri.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wewe unajidanganya na story zako za Shigongo, Mange kaingizwa mkenge na hajalipwa hata buku. Eti picha za utata, kuna picha gani ya utata hapo zaidi kuunganisha picha 2 tofauti?
 
Wewe unajidanganya na story zako za Shigongo, Mange kaingizwa mkenge na hajalipwa hata buku. Eti picha za utata, kuna picha gani ya utata hapo zaidi kuunganisha picha 2 tofauti?
Weee Sema hak'ya Mungu
Kumbe hajalipwa hata buku....!!
 
Watu kwa uongo hamjambo...
Nina amini mange kuna mtu kamwingiza choo cha kiume kwa kumpa story ya uongo makusudi na tena mtu huyo yuko WCB kuja kushtuka akajua kawatengenezea kiki na ndiyo maana hiyo habari kaifuta.
Hakuna mambo ya kulipwa wala nini
Tatatizo anategemea source zake za HIDE MY ID na kwa jinsi anavyowachukia WCB nao wakaona wacha tumtumie kwani Mange ni mtu wakurupuka alivyoipata tu akaituma,sasa hivi WCB wanamcheka.
 
Hii inawezekana kabisa I have that feeling not necessarily in this one but, toka mwanzo scandal zote michezo ndiyo hii. Kama wema sepetu alikuwa analipa magazeti yamwandike Mange kulipwa haishindikaniki
 
Mange kimambi Ajatumika Isipokuwa mwarabu Fighter na Harmonize wemechelewa sana kuja mjini ndo maanaa papuchi nyeupe zinawazuzua ....alafu domo anachofanya sahv nikula papuchi zote chafu akimaliza anawapa awa washamba wake na wenuewe waonjepo ....sasa wabongo mlivyokuwaga wapenda Umbea ...mtakalia kila siku kufatilia Ujinga ....Sijui mpaka Lin

Mange kimambi ana njaa yakufikia kulipwa 2M na domo wakat wafuasi wa chadema na Bwana harusi wanauwezo wakumlipa million 10 kwa siku.
 
Hata kama ukiwa unalipwa mamilioni kamwe hutakiwi kuacha kukusanya mia mia....hio ndo siri ya utajiri na mafanikio

mange kulipwa hela nyingi na chadema sio sababu ya yeye kukataa kupokea ela kidogo ya wcb kama chance ikitokea
 
Hii inawezekana kabisa I have that feeling not necessarily in this one but, toka mwanzo scandal zote michezo ndiyo hii. Kama wema sepetu alikuwa analipa magazeti yamwandike Mange kulipwa haishindikaniki

Hizi mambo ni mipango tuu...halafu wanapiga ela kilaiiini
 
Watu kwa uongo hamjambo...
Nina amini mange kuna mtu kamwingiza choo cha kiume kwa kumpa story ya uongo makusudi na tena mtu huyo yuko WCB kuja kushtuka akajua kawatengenezea kiki na ndiyo maana hiyo habari kaifuta.
Hakuna mambo ya kulipwa wala nini

Ndo mipango yenyewe iyoo
 
Wewe unajidanganya na story zako za Shigongo, Mange kaingizwa mkenge na hajalipwa hata buku. Eti picha za utata, kuna picha gani ya utata hapo zaidi kuunganisha picha 2 tofauti?

inatakiwa mjitokeze watu weeeeengi kama nyie mnaobisha halafu ndo da mange azipost sasa ili kuwaaminisha maboya kama sisi
 
Back
Top Bottom