Madai na tuhuma za ajabu na za kuchekesha kuhusu Israel vs Iran

Madai na tuhuma za ajabu na za kuchekesha kuhusu Israel vs Iran

Gol D Roger

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2023
Posts
2,316
Reaction score
6,082
1. Israel alitumia majini(viumbe vya ajabu) kum-locate Nasrallah (aliyekuwa kiongozi mkuu wa Hizbollah)
1000365699.jpg

Kama hujui "genies" ni viumbe gani, just search kweny Google au angalia movie ya disney ya "Alladin"

2. Brigedia General wa Iran kaishutumu Israel kwa wizi wa mawingu, meteorologist mkuu(mtaalamu wa anga) wa Iran kasema mawingu hayawez kuibiwa)
1000365707.jpg


3. Israel ina insert digital clouds kweny picha za satellite juu ya kambi zao za kijeshi, wataalamu wa picha za satellite wanasema satellite images are captured in blocks, so kutokea picha imejikata kama hivo ni kawaida
1000365705.jpg


4. Iran ilifanikiwa kulipua F-35 fighter jets 30, lakini kwa kukosa ushahidi akapost picha ya Gaza
1000365723.jpg


5. Kelele nyingi kuhusu shambulio la Iran but walichofanikiwa ni kumuua huyu Mpalestina mmoja huko West Bank, reports zinasema hakuna myahudi aliyekufa kutokana na shambulio lao.


Utasikia watu wanasema kwa sababu wamelenga kambi za jeshi, wangelenga kambi za jeshi tusingeona mabomu yanalipukia mitaani mbali kabisa na kambi za jeshi.
Wametumia $300 Million dollars kuua mpalestina mmoja na ndio maana Iranians hawaitaki serikali ya Ayatollah

6. Kuna Bomu moja la Iran lilifeli baada ya kusafiri 5KM likapiga kweny ardhi yao wenyew, pia kuna Segil missile lili-explode before launching, reports kutoka Iran zinasema shambulio la Iran dhidi ya Israel limeua 5 Iranians na kujeruhi 12

 
Kama hujui "genies" ni viumbe gani, just search kweny Google au angalia movie ya disney ya "Alladin"

2. Brigedia General wa Iran kaishutumu Israel kwa wizi wa mawingu, meteorologist mkuu(mtaalamu wa anga) wa Iran kasema mawingu hayawez kuibiwa)
 
Mbona kama unaongea vitu havipo vile , nval base imepigwa ....Bomu liloanguka lilikuwa intercepted upade wa jordan .........Wenzio sio kwa kupanic kule tambua kuna jambo tu .

Huku lebanon magaidi 200 wa israel wakuwa liquidated.
 
Back
Top Bottom