Ndugu wanajamvi Mimi ni mwalimu Wa halimashauri moja hapa nnchini nilianza Kazi mwaka 2009 na mwaka 2012 nilienda Chuo kusoma stashahada nimemaliza Chuo mwaka 2014 tatizo ni moja nilipewa ruhusa ya kwenda masomoni kwa gharama zangu mwenyewe ingawa nilipo peleka barua ya ruhusa niliambiwa niongezee katika heading ya barua neno Kwa gharama zangu mwenyewe .VP katika hili naruhisiwa kudai gharama zangu za masomo nilizotumia.