Madai ya katiba mpya iko pale pale

Madai ya katiba mpya iko pale pale

Gor

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,791
Reaction score
850
Peoples driven constitution ina tabia zake na kuu kuliko yote ni kuwa haipigwi na watu,kila moja anakuwa na shauku na ujio wake.Sasa hii ya Jakaya vipi?.Yaani ni mara yangu ya kwanza kuona katiba inaandikwa lakini nilocho record ni jinsi ya kukusanya maoni na kuweka maoni ya wananchi katika mfumo wa katiba/rasimu.Mengine yote ni utumbo na haina haja ya kuwekwa kwenye kumbu kumbu maana inaonyesha jinsi ambavyo hatuna maridhiano kama Taifa.

Kwa hakika ile mwaka 1978 wakati wa vita vya IDD AMINI Tanzania ingekuwa ya sasa tungepigwa mpaka Dar.Nchi haina uwazi,haina uwajibikaji mpaka ulazimishwe.uzalendo ziii,wachina wamejaa,waahamiaji kibao.

Hakuna cha kusaporti kuhusu katiba ya CHENGE ambaye amepewa kazi ya kuandika katiba akiwa tuhuma kibao,juzi tu baada ya kukabidhi katiba kafurumishwa kwa tuhuma za uwizi.Katiba ina imeshatiwa najisi sasa wa haja gani?.Tuanze upya tayari maoni kutoka kwa wananchi tunayo.

MIMI NITAPIGA KURA YA HAPANA.
 
peoples driven constitution ina tabia zake na kuu kuliko yote ni kuwa haipigwi na watu,kila moja anakuwa na shauku na ujio wake.sasa hii ya jakaya vipi?.yaani ni mara yangu ya kwanza kuona katiba inaandikwa lakini nilocho record ni jinsi ya kukusanya maoni na kuweka maoni ya wananchi katika mfumo wa katiba/rasimu.mengine yote ni utumbo na haina haja ya kuwekwa kwenye kumbu kumbu maana inaonyesha jinsi ambavyo hatuna maridhiano kama taifa.

Kwa hakika ile mwaka 1978 wakati wa vita vya idd amini tanzania ingekuwa ya sasa tungepigwa mpaka dar.nchi haina uwazi,haina uwajibikaji mpaka ulazimishwe.uzalendo ziii,wachina wamejaa,waahamiaji kibao.

Hakuna cha kusaporti kuhusu katiba ya chenge ambaye amepewa kazi ya kuandika katiba akiwa tuhuma kibao,juzi tu baada ya kukabidhi katiba kafurumishwa kwa tuhuma za uwizi.katiba ina imeshatiwa najisi sasa wa haja gani?.tuanze upya tayari maoni kutoka kwa wananchi tunayo.

Mimi nitapiga kura ya hapana.

kama umeishiwa hoja kojoa ukalale, humu ndani hapakufai, soma ielewe, elimisha wenzio, acha kulalamika wakati hata rangi ya katiba yenyewe cover yake huijui.!!
 
Back
Top Bottom