Madai ya Katiba Mpya: Viandaliwe vipeperushi kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya na visambazwe mitaani na sehemu zenye mikusanyiko

Ka
Katiba imekua ya muhimu baaada ya viongozi wa chama chako kugaragazwa kwenye sanduku la kula. Mumetafuta kiki ya kuleta mvurugo kwa hasira za kugaragazwa mwaka jana, mumeona mshikilie bango la katiba. Hata hili la katiba nalo mtaishia aibu kubwa saanaa.
 
Supported..Supported...Supported Mkuu.
 
Tanzania hatuna tabia ya kusoma... Hivyo vipeperushi vitachafua majiji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…