Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI VYA VIZAZI NA VIFO VYA WANAFUNZI WANAOOMBΑ ΜΙΚΟΡΟ YA ELIMU
Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umepokea jumla ya maombi uhakiki 143,157 ambapo kati ya hayo, maombi 87,665 sawa na asilimia 61.2 yameshafanyiwa kazi na majibu kutumwa kwa wahusika.
Maombi yaliyosalia ambayo ni 55,492 yanaendelea kufanyiwa kazi kwa ajili ya kukamilisha kazi ya uhakiki ndani ya siku 7.
Hata hivyo, tunakiri kuwepo kwa changamoto katika mfumo wa kutuma maombi ya Uhakiki ambayo kwa sasa imepatiwa ufumbuzi.
Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
Imetolewa na
Kitengo cha Masoko na Mawasiliano.
Kitengo cha Masoko na Mawasiliano.
Pia, soma: KERO - RITA badilikeni, toeni majibu ya uhakiki wa vyeti kwa wakati