Ukiachana na hilo la kuchelewesha majibu ya verification wengine tuna wiki ya pili sasa tumelipia kuomba vyeti vipya lakini tunaambiwa pesa haijaingia ilhali malipo yalifanyika na pesa inaonyesha imefika kwao ukifika ofisini kwao hakuna majibu ya maana wanayotoa tunaomba mtusaidie kwa hili jamn tunateseka sisi