Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
kuumbe....Aunt Ezekiel
Ahahaha mwenzangu asije akawa anajishaua kumbe kabeba jiwe, ntachekaje
Akitulize na yeye ameambiwa nyandu kaumbiwa yeye tu? Ila kama kweli cheusi dawa atakuwa kapata shavu ila kama ya yule mchawi moze bhas imekula kwake
Umeona eeh? I love u too mwaaah!!!