Madai ya kujifungua, Mashabiki wamvaa Aunty Ezekiel

Madai ya kujifungua, Mashabiki wamvaa Aunty Ezekiel

Yani mimba anaipigia promo kama bidhaa za forever living...hizi kik zingine za kithenge hata kama kuseek attention sio kiivo fwara huyo
 
Yani mimba anaipigia promo kama bidhaa za forever living...hizi kik zingine za kithenge hata kama kuseek attention sio kiivo fwara huyo

Ahahaha mwenzangu asije akawa anajishaua kumbe kabeba jiwe, ntachekaje
 
Ahahaha mwenzangu asije akawa anajishaua kumbe kabeba jiwe, ntachekaje

yani hawa badala umaarufu wa upate kupitia kazi na.vitu vizuri wanavofanya...wanataka umaarufu kupitia viudaku udaku tu wakiona hawasemwi haooo wanajifanyisha viujinga ku-update viumaarufu uchwara shwain kabisa
 
Akitulize na yeye ameambiwa nyandu kaumbiwa yeye tu? Ila kama kweli cheusi dawa atakuwa kapata shavu ila kama ya yule mchawi moze bhas imekula kwake

Yaani warumi Ur something else. .I love u
 
Back
Top Bottom