Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kupitia mtandao wa twitter kuna madai ya kupanda kwa vifaa vya ujenzi: Cement,nondo,bati, n.k.
Madai haya yanatokana na swali alilouliza Zitto juu ya bei hizo kupanda ambapo baadhi ya watu wamemjibu ni kweli bei zimepanda.
Kwa mfano,wanadai mfuko wa cement umepanda kutoka shilingi 11,500 mwezi March jana mpaka kufikia shilingi 13,000 mwezi March mwaka huku nondo ya mm 12 ikidaiwa kupanda kutoka shilingi 16,000 mpaka kufikia shilingi 20,000.
Je,madai haya ni ya kweli?
Mtaani kwako bei zikoje?
Kama ni kweli,chanzo ni nini?
Je,kuna kiwanda cha cement kimesimamisha uzalishaji?
Kama kipo,hiI ndio inaweza kuwa sababu ya kupanda kwa bei ya mfuko wa cement?
Vipi kuhusu nondo?