Ikiwa una dini huwezi kukataa ,na iwapo unajiita mkiristo aafu ukakataa basi ukiristo wako ni wakutiliwa shaka.Hivi ikitokea serikali ikiruhusu kiwepo icho kipengere, na sisi wakristu tukikataa kisiwepo serikali itatakiwa ifate lipi? Hawa jamaa sijui wanatakaje kuna waislam nimesoma nao A-Level walikua na mambo haya haya ya udini, wote Zero sasa sijui wanataka wapewe idara gani kwa mwendo wa Zero.
Sina maana hiyo. Namaanisha kwamba kuna haja gani sasa ya kuhesabu nyumba za ibada wakati waabudu wanaoingia kwenye hizo nyumba wenyewe bila kuhesabiwa? Kuna Nini kilichojificha hapa katikati?
Ni muda mrefu Waislam wa Tz wanalalamika juu ya manyanyaso wanayofanyiwa na serikali yao. Hili limekuwa likijitokeza katika siasa, elimu afya na hata nafasi mbalimbali za uongozi hapa nchini.
Mwaka huu serikari inatarajia kuendesha zoezi la kuhesabu watu na makazi kwa wote watakaolala nchini usiku wa kuamkia tar 26. Zoezi litadumu kwa muda wa siku saba. Dodoso litahusisha jina la mtu, umri wake, jinsi, elimu nk. Nyumba za Ibada pia zitahesabiwa!
Ni uamuzi mzuri wa serikari yetu kwa lengo la ku-provide huduma kwa raia wake.
Sasa Waislam wanahoji kukosekana kwa kipengele cha Dini katika madodoso hayo ya sensa. Eti wana-JF wenzangu, kuna ubaya gani serikari kujua idadi ya watu na imani zao? Kwani hii si inaweza kusaidia katika kutoa huduma stahili kwa watu kulingana na imani zao? E.g Kugawa maeneo ya mazishi kulingana na idadi ya waumini fulani katika eneo fulani? (Kumbuka Waislamu, Wakristo nk huzikana kulingana na imani zao hivyo si rahisi ku-share eneo la makaburi).
rais-muislamu
makamu wa rais......muislam
rais wa zanzibar.......muislam
makamu wa 1..........muislam
makamu wa 2..........muislam.
igp.........................muslam.
mkuu tss................muislam.
jai mkuu.................muislam.
waislamu mungu awape nini muache kulalamika?
mimi nashauri uchaguzi wa 2015 nafasi zote za juu ziachwe kwa waislamu ili waridhike kwa sababu wao ndio wa kwanza kuichagua ccm,ccm imekuwa ikiwahadaa miaka na miaka lakini badala ya kuona ni wapi walipokwama wao wanalalamikia ukiristo.
waislamu kwa sasa wako radhi kuisamehe ccm hata ikiwafanyia baya kiaso gani kisa rais na mwenyekiti wa ccm ni muislamu mwenzetu muislam na ili uwajue ni watu wa namna gani mabaya yote ccm inayowafanyia sasa watakuja kuiadhibu siku raisna mwenyekiti wa ccm ataka[po kuwa mkristo.
..........penye red umedanganya na ni aibu kwa mtu mzima kusema uongo, pili serikali haihitaji imani za wananchi wake ili ipange mipango ya maendeleo kwa madhumuni ya sensa..... pole baba/mama na udini wakoNi muda mrefu Waislam wa Tz wanalalamika juu ya manyanyaso wanayofanyiwa na serikali yao. Hili limekuwa likijitokeza katika siasa, elimu afya na hata nafasi mbalimbali za uongozi hapa nchini.
Mwaka huu serikari inatarajia kuendesha zoezi la kuhesabu watu na makazi kwa wote watakaolala nchini usiku wa kuamkia tar 26. Zoezi litadumu kwa muda wa siku saba. Dodoso litahusisha jina la mtu, umri wake, jinsi, elimu nk. Nyumba za Ibada pia zitahesabiwa!
Ni uamuzi mzuri wa serikari yetu kwa lengo la ku-provide huduma kwa raia wake.
Sasa Waislam wanahoji kukosekana kwa kipengele cha Dini katika madodoso hayo ya sensa. Eti wana-JF wenzangu, kuna ubaya gani serikari kujua idadi ya watu na imani zao? Kwani hii si inaweza kusaidia katika kutoa huduma stahili kwa watu kulingana na imani zao? E.g Kugawa maeneo ya mazishi kulingana na idadi ya waumini fulani katika eneo fulani? (Kumbuka Waislamu, Wakristo nk huzikana kulingana na imani zao hivyo si rahisi ku-share eneo la makaburi).
Basi subirini mtakuwa mnaulizwa huko mahakamani.
Ni muda mrefu Waislam wa Tz wanalalamika juu ya manyanyaso wanayofanyiwa na serikali yao. Hili limekuwa likijitokeza katika siasa, elimu afya na hata nafasi mbalimbali za uongozi hapa nchini.
Mwaka huu serikari inatarajia kuendesha zoezi la kuhesabu watu na makazi kwa wote watakaolala nchini usiku wa kuamkia tar 26. Zoezi litadumu kwa muda wa siku saba. Dodoso litahusisha jina la mtu, umri wake, jinsi, elimu nk. Nyumba za Ibada pia zitahesabiwa!
Ni uamuzi mzuri wa serikari yetu kwa lengo la ku-provide huduma kwa raia wake.
Sasa Waislam wanahoji kukosekana kwa kipengele cha Dini katika madodoso hayo ya sensa. Eti wana-JF wenzangu, kuna ubaya gani serikari kujua idadi ya watu na imani zao? Kwani hii si inaweza kusaidia katika kutoa huduma stahili kwa watu kulingana na imani zao? E.g Kugawa maeneo ya mazishi kulingana na idadi ya waumini fulani katika eneo fulani? (Kumbuka Waislamu, Wakristo nk huzikana kulingana na imani zao hivyo si rahisi ku-share eneo la makaburi).
Mkuu hujui BAKWATA ni CCM (B) aka Ofisi ya Serikali chini ya Makamu wa raisi.Exactly. WapelekeBAKWATA. Ingawa ilishatoa Tamko kuwa Lazima watahesabiwa.
Ni muda mrefu Waislam wa Tz wanalalamika juu ya manyanyaso wanayofanyiwa na serikali yao. Hili limekuwa likijitokeza katika siasa, elimu afya na hata nafasi mbalimbali za uongozi hapa nchini.
Mwaka huu serikari inatarajia kuendesha zoezi la kuhesabu watu na makazi kwa wote watakaolala nchini usiku wa kuamkia tar 26. Zoezi litadumu kwa muda wa siku saba. Dodoso litahusisha jina la mtu, umri wake, jinsi, elimu nk. Nyumba za Ibada pia zitahesabiwa!
Ni uamuzi mzuri wa serikari yetu kwa lengo la ku-provide huduma kwa raia wake.
Sasa Waislam wanahoji kukosekana kwa kipengele cha Dini katika madodoso hayo ya sensa. Eti wana-JF wenzangu, kuna ubaya gani serikari kujua idadi ya watu na imani zao? Kwani hii si inaweza kusaidia katika kutoa huduma stahili kwa watu kulingana na imani zao? E.g Kugawa maeneo ya mazishi kulingana na idadi ya waumini fulani katika eneo fulani? (Kumbuka Waislamu, Wakristo nk huzikana kulingana na imani zao hivyo si rahisi ku-share eneo la makaburi).
Join Date : 15th July 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received 0
Likes Given 0
Karibu JF....
Vipi kuhusu makabila, rangi, walemavu, wapagani, idadi ya wake,...
rais-muislamu
makamu wa rais......muislam
rais wa zanzibar.......muislam
makamu wa 1..........muislam
makamu wa 2..........muislam.
igp.........................muslam.
mkuu tss................muislam.
jai mkuu.................muislam.
waislamu mungu awape nini muache kulalamika?
mimi nashauri uchaguzi wa 2015 nafasi zote za juu ziachwe kwa waislamu ili waridhike kwa sababu wao ndio wa kwanza kuichagua ccm,ccm imekuwa ikiwahadaa miaka na miaka lakini badala ya kuona ni wapi walipokwama wao wanalalamikia ukiristo.
waislamu kwa sasa wako radhi kuisamehe ccm hata ikiwafanyia baya kiaso gani kisa rais na mwenyekiti wa ccm ni muislamu mwenzetu muislam na ili uwajue ni watu wa namna gani mabaya yote ccm inayowafanyia sasa watakuja kuiadhibu siku raisna mwenyekiti wa ccm ataka[po kuwa mkristo.
hawa jamaa hivi wanataka nini zaidi?..........mi nadhani wanataka mgawo wa nchi kwamba waislamu wanapewa dar,tanga,na pwani alafu iliyobaki ni ya wakristo na wapagani na dini nyingine kwani naona hawa watu ni wabinafsi sana...
Badala ya kuwaza ya kuishi wewe unawaza ya kuzikwa.........kuna mtu amekosa pa kuzikwa tangu uzaliwe hapa Tanzania just kwa sababu ya imani yake?........shame on you and of your kind!
Hizi dini zetu ni za maajabu sana kwani zimeanza kuleta madai ya ajabiajabu tu
Mtoa mada umeongea ukweli maana hata ukienda mahakamani au polisi Lazima utaulizwa DINI yako nani wakati ukichukuliwa maelezo,Y Dini yako? Na Nyumba za Ibada kwa nini zihesabiwe wakati wajengaji wa hizo nyumba ni waumini wenyewe? Au kwa nini nyumba za kuishi nazo zisihesabiwe? Si Bure Kuna jambo.
Basi subirini mtakuwa mnaulizwa huko mahakamani.
Yaani hawa jamaa wangekosa hizo nafasi zote sijui ingekuwaje? Sasa hivi Mr. Dhaifu yuko kwenye mkakati kwamba Rais ajaye awe wa kwao. Lakini nasema awamu ijayo Rais, makamu, rais wa zenj na makamu wote, IGP, Jaji mkuu, usalama wa taifa n.k ni zamu ya wakristu. Wao tutawapa waziri mkuu!
Ushauri kwa wabadirisha mlo mhesabiane wenyewe pamoja na nyumba zeno.
Mbona wakatoliki wanajihesabu wenyewe na hawalalamiki na wanajipangia wao maendeleo yao hivi waislamu mna matatizo gani ninyi?
Waislamu wajihesabu wao, katika magroup kama ni Washia, washuni, Ismailia. Sisi dini nyingine hatutaki
Weee! acha wawe haohao, unataka kuleta boko harahamu, kwanza hata waziri mkuu wamchague muislamu
Ukielewa nini tofauti ya formal na informal education, utasumbuka na maada hii....
hilo la data za kupika wala halitusumbui sisi,ukweli utabaki kuwa pale pale na kila mtu dhamira yake inamsuta.
Boko haramu wa Ukweli saana wale,mbona husemi kama mayahudi wanvyuwafanyia wapalestina?
Naona waanglikana ndiyo mmekuwa wasemaji wakuu
tusio na dini ???
waziri mkuu pia.......... muislam
mwenyekiti wa tume ya katiba ni ............muislam
spika na naibu wake ni ............waislam
Hicho kipengele kiwepo na daku na futuru ya kiti moto iwe ruhusa kwa wote!
Udini, Udini, Udini, hamna mambo mengine ya kuzungumza, au ndiyo mnafundishwa kwenye Bao and kahawa za jioni?
Ao wanataka mpaka tuwape wake zetu ndo waridhike, IPP ni ya mkristo lakini idadi kubwa ya wauza sura kwenye media zake ni waislam..katika teuzi zake rais amekuwa akiwajaza waziwazi ao ndugu zetu...biashara kubwa posta,kariakoo,buguruni,ilala na maeneo mengine wamezishika wao,marais wa pande zote mbili ni wao. Na bado hakuna mkristo nilyewahi kumsikia akilalamika. Lakini wao wanaelezana uchochezi kila kukicha tena kwenye nyumba za ibada,mimi kwa maskio yangu nimesikia na kuona wakijihusisha na mazoezi ya ukakamavu kwa madai kuwa wanajiandaa na adui,sasa sijui adui gani? Labda sensa.
MNGEKUWA NI WATU Si wakupeleka Maslahi ya DINI mbele na Kuona Wengine hawafai na Wala si kitu Mngesikilizwa.. TATIZO MNAJIONA NYIE NDO BORA KULIKO WENGINE
HATA NCHI ZENU HAZINA AMANI KABISA
LESS PEACEFUL COUNTRIES
¤Iran
¤Turkey
¤Libya
¤Syria
¤Pakistan
¤Iraq
¤Sudan
¤Somalia
¤Afghanistan
WIKIPEDIA
N.k
Wanataka WAZIKANE na Kupewa Maeneo ya Kuzikana
HOJA DHAIFU HATA SISIMIZI HAWEZI KUFIKIRIA HIVI.
Exactly. Wapeleke BAKWATA. Ingawa ilishatoa Tamko kuwa Lazima watahesabiwa.
narudia kusistiza.......... maswala ya imani zetu tusiyalete humu........ kma lnakukera lipeleke kwenye vyombo vya dini husika....... kwa wale wapagani mezea mdo mdo......
Let's discuss issues which will take us forward as a nation and nt individually nor segregatively........
Hawa si ndio waliogawiwa sanda na Mheshimiwa huko nachingwea? Wameshapata sanda bado makaburi ya kuzikwa. Lazima wapiganie kuyapata kisha tuwazike.
umeshasema mwenyewe kuna wakristu jina na waislamu jina...sasa kipengele cha dini kiwekwe ili iweje wakati kuna waislamu jina na wakristu jina? utapataje idadi halisi ya waislamu/wakristu wakati wengine siyo waumini makini na hata kwenye hiyo misikiti/makanisa hawajawahi kutia mguu ?
Watu badala ya kujadil mada mnajadil vitu vya ajabu... Unahesabu nyumba za ibada halafu hutak kujua waumin wangap huingia humo huo si ujnga? Nchi kama uingereza,marekan,kenya,ethiopia ktk sensa zao kipo kipengele cha dini umeshasikia watu wamekufa huko kwa sbb ya sensa? achen upuuz..Eti wasio na din itakuaje? wakat hyo serikal imepanga sensa ikaweka dodoso la nyumba za ibada je.! wapagan wana nyumba za ibada? huon serikal ina maanisha waislam na wakristo tu....WAISLAM MSIMAMO UPO PALE PALE HAKUNA KUSHIRIK
Sina maana hiyo. Namaanisha kwamba kuna haja gani sasa ya kuhesabu nyumba za ibada wakati waabudu wanaoingia kwenye hizo nyumba wenyewe bila kuhesabiwa? Kuna Nini kilichojificha hapa katikati?
umeambiwa eneo la mazishi limeisha???
Bado hujasomeka. Hebu fafanua kidogo ili wana-JF waku-understand.
Hakuna huduma zinazotolewa au zinazotakiwa kutolewa na serikali kulingana na imani
Hivi ikitokea serikali ikiruhusu kiwepo icho kipengere, na sisi wakristu tukikataa kisiwepo serikali itatakiwa ifate lipi? Hawa jamaa sijui wanatakaje kuna waislam nimesoma nao A-Level walikua na mambo haya haya ya udini, wote Zero sasa sijui wanataka wapewe idara gani kwa mwendo wa Zero.
mimi sijaliona dodoso ila naomba unisaidie...kwenye hicho kipengele cha nyumba za ibada, je wameweka specifically nyumba ya ibada ya dhehebu gani au wanataka kujua kuna nyumba za ibada ngapi bila kujua dhehebu kwenye eneo husika?
Ikiwa una dini huwezi kukataa ,na iwapo unajiita mkiristo aafu ukakataa basi ukiristo wako ni wakutiliwa shaka.
Hamjawaelewa hawa. wanataka kujaribu kuona kama wanaweza kudictate katika mambo muhimu ya nchi. Hapa ni mwanzo tu hasa baada ya lile la mahakama ya kadhi kukosa mashiko katika mfumo wa serikali. Serikali yetu nayo ndiyo hiyo isiyo na hatamu
Kwa hatua ambayo zoezi la sensa limefikia, Kama kuna mtu leo hii 31/07/2012 anaamini kwamba kuna KIPENGELE KITAONGEZWA AU KUPUNGUZWA kwenye DODOSO la sensa ya 2012, basi mtu huyo ni MBUMBUMBU MZUNGU WA RELI na anahitaji maombezi.
Mkiweka tu kipengele cha dini basi watu wa kwetu nao watadai kipengele cha kabila na nasaba. Sababu hivi ni vipengele vya kiasili kabisa. Vipo tangu tumeanza kuwa hapa kwenye nchi yetu na ni zaidi ya hayo maitikadi mnayodai, kwanza yaliletwa na wahuni (wakoloni), na sasa sisi ndio tunataka kujifanya .. tunajua zaidi mambo ya kigeni
Uongo mbaya hawa Jamaa ni wapumbafu tu na Daima hawana maamuzi ya busara siku zote wamejaa chuki na kutojiamini Nawachukia sana kwa ujinga wao sijui hua haifikiriii Juzi tu hapa ilikua inadai irudishie shule zao zilizochukuliwa na serikali sasa nawakilisto wangeamua kuzichukua ingekuwaje sasa,Inakubukwa Mh Mkapa (Mkiristo) wakati yuko madarakani alikichukua chuo ambacho kilikua chini ya Tanesco na kuwamilikisha Waislamu wangemilikishwa wakristo ingekua tabu,Nenda kwenye Taasisi yote ya kislamu pamejaa ubaguzi,Zazibar vuguvugu la Muungano makanisa yakachoma,Wamefunga Ramadhani wanatangazia mama ntilie wasifungue migahawa JAMANI EBU ACHENI UBAGUZI WA KIPUMBAVU
sasa hapo unamaana kuwa viongozi wamechaguliwa kidini?, mbona hutajo taasis zote za umma?, acha kuongea hoja dhaifu namna hiyo, ongea hoja za maana. Kuna taasis ngapi serikalini zote zinaongozwa na waislamu?, thats too cheap, by the way Jack zoka wa tss ni muslim?, i doubt that
HASWAA!! Lakini wakiendeleza huo ubaguzi wao wa kijinga hawatafika mbali bali wataumia tu shezi type kabisa
..........penye red umedanganya na ni aibu kwa mtu mzima kusema uongo, pili serikali haihitaji imani za wananchi wake ili ipange mipango ya maendeleo kwa madhumuni ya sensa..... pole baba/mama na udini wako
.........unaweza kupata wazimu bure ukitafakari ujinga wa baadhi yetu
mkuu ww noumaa unajua kweli kuwapa majibu ya stahiki zao
Ongezea na wazee wa Mabwepande waliohusishwa na issue ya Ulimboka (dk) uunganishe dots, upate majibu (according to MwanaHalisi)
Nafikiri ingekuwa vizuri tungeungana na waislamu ili serikali ishike adabu. Walimu, madaktari, mgomo wa wafanyakazi wote pamoja na wote tusioipenda serikali ya kifisadi iliyoko madarakani tungegomea sensa kuonyesha msisitizo.Tuungane kama watanzania kugomea sensa ikiwa ni ishara ya kuchukia kutekwa kwa raia mwenzetu Dr Ulimboka.:spy: