Madai ya waislam kuhusu sensa 2012


Tafakari maswali haya halafu uniambie utamshauri vipi mtu anayeweza kudai haki yake kwa kuuliza maswali haya:-
  1. Mbona wahasibu wengi ni dini/kabila X?
  2. Kwa nini maprofesa wengi wa sheria ni kabila/dini au madhehebu Y?
  3. Kwa nini wakazi wengi wa nchi, mkoa, mtaa au kitongoji X ni waumini wa dini fulani?
  4. Mbona mahakimu wengi ni waumini wa dini X?
  5. Mbona wasanii wa Bongo Flavour wanao-hit zaidi ni waumini wa dini X?
  6. Kama dini Y hawapendelewi inakuwaje wengi wao ndiyo wanasajiliwa na klabu kubwa za soka na kwa dau kubwa.
  7. Kama sensa haina udini kwa nini inahesabu watu ambao wana dini zao?

I'm religious enough lakini nathubutu kusema dini bila kuwa na elimu nzuri ya dunia inakunyima uwezo wa kupambanua mambo, na matokeo yake hutaishi kwa furaha hapa duniani na hata huko peponi hutaenda kwa kuwa hata basics za dini yako zitakupita kwa sababu ya mapepe ya bifu za kidini. Hujasikia muisilam anamwita Mkristu kafir kwa kuamini Yesu kuwa mwana wa Mungu wakati huo huo kavaa au kamvalisha mwanaye hirizi (ili kumkinga na wachawi) aliyoipata kwa mganga wa kienyeji anayetumia nguvu za mizimu au majini? Mtu huyu kwa nini asitumie nguvu ya kiimani kukwepa shirk na akishaongoka ndipo aangalie dini nyingine wanamkosea vipi Mwenyezi Mungu?

Wewe unadhani ni jambo gani katika sensa ambalo haliwezi kutengenezewa swali lenye kuleta utata? Kuna watu wanauliza kwa nini watu wanataka kujua walipozaliwa, kiwango chao cha elimu na kadhalika. Utawaambia vipi hao? Don't be stupid guys?

 

Daah sasa hapo wa kulalamika waislam au wakristo??!! Yaani ingekua wakristo wanalalamika si ingekua kila siku... Wakristo wako busy wanatafuta hela na kujiendeleza mda wa kulalamika vitu vidogo hakuna wakiamua waweke baraza zima la mawaziri waislam wafanye hatujali na haituhusi
 
Badala ya kuwaza ya kuishi wewe unawaza ya kuzikwa.........kuna mtu amekosa pa kuzikwa tangu uzaliwe hapa Tanzania just kwa sababu ya imani yake?........shame on you and of your kind!

unaogopa kufa?
 

hapo kwenye red:Wala sio Waislam wa Tz ni nonsense fulani wameweka kijiwe radio imaani wanaongopeana...hivi Rais, Makamu wa rais, rais wa zenj,etc all the top ni waislamu, kwanini wao wanaruhusu sensa iwepo, na inakuwaje hao jamaa wachache waongopee wenzao?
 

hapo kwenye red:Wala sio Waislam wa Tz ni nonsense fulani wameweka kijiwe radio imaani wanaongopeana...hivi Rais, Makamu wa rais, rais wa zenj,etc all the top ni waislamu, kwanini wao wanaruhusu sensa iwepo, na inakuwaje hao jamaa wachache waongopee wenzao?
 
Mimi naona waislamu peke yao ndo wanaweza kufanya hivyo huku kwa wakristo ikishatoka kauli utasikia mchungaji kasema au askofu kasema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…