Madai ya Wenyeviti wa CCM Vs Kubenea


Hili ndilo tunao lisubiri kwa hamu na hapo ngoma ndo itakuwa inogile!
 
Hawa wenyeviti wa ccm hawawezi kuwa na thamani ya bill. 4 kwasababu karibuni wote ni wagonjwagonjwa na hawajasoma kwahiyo ni vilaza/vihiyo; hakuna hakimu mwenye akili anaweza kuwapa award hiyo. Nawatahadhalisha kuwa wajitayalishe kufungwa kwani Kubenea baada ya kushinda lazima atawaadabisha kwa kuwatoza costs zake nao watashindwa na kwavile EPA haipo tena chama chao hakitaweza kuwakomboa itabidi waishie lupango!!! Kazi kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…