Madai ya Wenyeviti wa CCM Vs Kubenea

Madai ya Wenyeviti wa CCM Vs Kubenea

Guninita na hao wenyeviti wenzie wote ni wachumia tumboni na ndio maana kundi la Lowassa[ Masha, Adam Malima, Peter Serukamba etc] not to mention Rostam wakawaidentify kuwa wao ni rahisi kuweza kuwatumia kufanikisha mpango wao. Sio siri kuwa walikwishapewa pesa nyingi kama kianzio na waliahidiwa fedha zaidi!! Sasa kwa vile MwanaHalisi limewaumbua ni lazima wajitetee kuwa wao wako pamoja na Jakaya.Sio siri tena kuwa wapambe wa Lowassa : Masha Malima na Serukamba wamekuwa wakisema hadharani kuwa wao watahakikisha kuwa Jakaya is a one term Rais na kosa lake ni kumtosa GOD FATHER wao Lowassa baada ya kufichuliwa ufisadi wake. Guninita na genge lake kama kweli watakwenda mahakamani wawe tayari kufedheheshwa kwani Kubenea ana ushahidi wa kujitosheleza.

Hili ndilo tunao lisubiri kwa hamu na hapo ngoma ndo itakuwa inogile!
 
Hawa wenyeviti wa ccm hawawezi kuwa na thamani ya bill. 4 kwasababu karibuni wote ni wagonjwagonjwa na hawajasoma kwahiyo ni vilaza/vihiyo; hakuna hakimu mwenye akili anaweza kuwapa award hiyo. Nawatahadhalisha kuwa wajitayalishe kufungwa kwani Kubenea baada ya kushinda lazima atawaadabisha kwa kuwatoza costs zake nao watashindwa na kwavile EPA haipo tena chama chao hakitaweza kuwakomboa itabidi waishie lupango!!! Kazi kwenu.
 
Back
Top Bottom