Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Habari Wana JF,Kama kichwa Cha habari hapo juu,Tulimpeleka jirani yetu Ambaye alipatia changamoto kidogo ya Afya na kumpeleka General hospital hapa Dodoma.
Nilichokiona ni Hawa madaktari vijana,Hawako makini sana tofauti na madaktari watu wazima!,Wapo bize na simu na mambo ya Wala hawajali kama kwa madaktari watu wazima,wanajali na wanajua afya ndio uhai.Naomba serikali iwape upendeleo madaktari wazoefu ili kutoka maisha ya watu na kuzuia video visivyo na ulazima.
Itokee tuu kustaafu kwao,iwe kwa ugonjwa au kushindwa kumudu kuhudumia kutoka na umri mkubwa.Maana huyu jirani yangu,imechukua muda mrefu kupata huduma hadi kifo kimempata!Wakae na wazoefu ili kujijengea jinsi ya kuhudumia Binadamu kwa vitendo Kwa kuwa Afya Haina mmbadala.