Madakitari wa Kinywa na meno

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
277
Heshima iwe kwenu madakitari.
Naombeni msaada wenu mwanangu mwenye umri wa miaka mitano meno yanapukutika mdomoni mithili ya watoto wanaokula kwa wingi biskuti na pipi sasa sijui tatizo ni nini.Nitumie dawa gani kumpatia mwanangu ili kuutibu ugongwa huo???
 
Hapana mkuu hapo awali nilidhania hivyo ila toka nimepiga marufuku ni miaka miwili ila tatizo lipo palepale
 
Pole yawezekana dawa alizotumia akiwa mdogo pia zinachangia sana uharibifu wa meno kwa watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…