aaah! ni kweli mkuu? sasa mbona tumesikia kikwete amesaini posho za wabunge kabla ya kuongea na madaktari??ni kweli haya>?hii serikali mbona inatuchanganya
NA HUYO DR ULIMBOka kapata wapi?????????????
NA HUYO DR ULIMBOka kapata wapi?????????????
HIVI HII NCH TUNAELEKEA WAP JAMAN HUYU RAIS WETU HANA TAMKO LOLOTE JUU YA HILI KUTWA YE KUSAFILI CHA MAANA AKIONEKAN ALAAAA MBNA RAIS YULE WA NCH WALIOFUKIWA KTK SHMO LA DHAHABU ALIKUWAGA NA SAFAR AKAGAILISHA MPAKA RAIA WAKE WALIPOTOKA KTK SIMO INABOA SANA DAH watu wanakufa mwimbili lakini ingelikuw wabunge wamegoma fasta posho zingeongezeka
kapewa lift afu anataka usukani?
nikifika ntawarushia kambalabda wakibaki wachache serikali itakuwa na fedha za kuwalipa.
punguza munkariatakuwa anamtibu mamako tu.
Hii si nchi yetu.yani hii nch yetu kuanzia rais na serekal yake atuielew kbsa
Penye uzia penyeza rupiaPANYA ROAD EVERY WHERE WE MKENYA nini??