Madaktari bingwa toka India kuzuru nchini

VIRTUOUS

Member
Joined
Aug 21, 2017
Posts
87
Reaction score
87

Salaam wanabodi,
Napenda kuwataarifu juu ya ujio wa madaktari bingwa wa MIFUPA, FIGO, MOYO, SARATANI (CANCER) na MFUMO WA MKOJO kutoka Narayana Health Hospitals-India.

Madaktari hawa bingwa watatoa huduma za kibingwa ikiwemo ushauri, siku za Tarehe 26 na 27 Agosti 2017 katika Hospitali ya JPM iliyoko Magomeni Dar Es Salaam kuanzia saa 2 asubuhi.

Yeyote anayehitaji kuonana na madakatri hao afike hospitali tajwa akiwa na report za awali za tatizo lake.
Ni vyema kufanya appointment kabla. Kwa ufanunuzi zaidi endapo utahitajika piga namba hizi +919886019627 (Anoop Kumar, Senior Manager – Africa) au 0769123464 kwa Mratibu zoezi aliyeko nchini.
 
early appointment ni muhimu sana kuepuka usumbufu
 
Asante kwa taarifa
Kumbuka kwamba wengine hawako Dar na mda ni mdogo sana uliobaki
Au tangazo ni marudio
Samahani lakini
 
Asante kwa taarifa
Kumbuka kwamba wengine hawako Dar na mda ni mdogo sana uliobaki
Au tangazo ni marudio
Samahani lakini
Bila samahani mkuu, ni kweli taarifa imekuja kwa kuchelewa na nadhani ni maandalizi hayakuwa ya muda mrefu kwa kuzingatia timu nyingine imetoka hapa nchini mwezi March. Mara nyingi huwa ni mara 1 kwa mwaka. Tujitahidi kutumia hizi siku 3 mkuu.
 
Asante
Nimekuelewa
 
Ni muhimu kuwa na reports za awali za ugonjwa/mgonjwa wako ili kurahisisha mambo.
 
mgonjwa wangu alishapelekwa nje. Nyumbani ilikua in mchezo wa kuguess tu tatizo lake tukaona bora aondoke. Alienda hospitals zaidi ya 9 including Muhimbili na wote ilikua guesswork tu. Tunashukuru Mungu anaendelea vizuri.
 
Afadhali. Watu huwa wakisema mapungufu ya huduma zetu wanaonwekana wabaya ila kiukweli wenzetu wako serious. Mungu amjalie apone haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…