VIRTUOUS
Member
- Aug 21, 2017
- 87
- 87
Salaam wanabodi,
Napenda kuwataarifu juu ya ujio wa madaktari bingwa wa MIFUPA, FIGO, MOYO, SARATANI (CANCER) na MFUMO WA MKOJO kutoka Narayana Health Hospitals-India.
Madaktari hawa bingwa watatoa huduma za kibingwa ikiwemo ushauri, siku za Tarehe 26 na 27 Agosti 2017 katika Hospitali ya JPM iliyoko Magomeni Dar Es Salaam kuanzia saa 2 asubuhi.
Yeyote anayehitaji kuonana na madakatri hao afike hospitali tajwa akiwa na report za awali za tatizo lake.
Ni vyema kufanya appointment kabla. Kwa ufanunuzi zaidi endapo utahitajika piga namba hizi +919886019627 (Anoop Kumar, Senior Manager – Africa) au 0769123464 kwa Mratibu zoezi aliyeko nchini.