peno hasegawa JF-Expert Member Joined Feb 24, 2016 Posts 14,255 Reaction score 23,949 May 21, 2024 #1 Kuna madaktari nimewasikia wako mtaani ,wanajulikana kama Madaktari Bingwa wa Rais Samia. Mwenye uelewa wa jambo hili tafadhali. Kuna kundi jingine wanajiita wezi wa mama Samia wako songea. Haya makundi ni ya kitaalamu au ni makundi ya kisiasa?
Kuna madaktari nimewasikia wako mtaani ,wanajulikana kama Madaktari Bingwa wa Rais Samia. Mwenye uelewa wa jambo hili tafadhali. Kuna kundi jingine wanajiita wezi wa mama Samia wako songea. Haya makundi ni ya kitaalamu au ni makundi ya kisiasa?