Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wataendelea kubisha kuwa "tulikuwa NYANI" pamoja na ushahidi wa wazi kabisa.
Sio brain bhana mkuu hawa wana matatizo ya genetic!
Ukioa ktk familia hiyo vipiMkuu mbona wamesema wazi kua ni Tatizo la kijenetikia, wanakosa uwezo wa kusimama na kutembea vyema “balance”, na tatizo hilo linarithishwa kutoka kwa mzazi kwenda mtoto na ndio maana hilo tatizo linazunguka kwenye familia hiyo tu...
Yaani hii case nimeishuhudia kwa macho, alikuwa akisimama anakimbia kiupande upande anaenda kudondoka, kuna wakati anasimama anatembea kwa kurudi nyumaMkoa gani