AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Naombeni nijuzwe ni nini hasa mnakifanya kwa mzazi ambaye amejifungua kwa operesheni yaani ni kitu gani mnakiweka ambacho kinazuia ujauzito kuingia sikubaliani kabisa just ni bahati tu eti mimba haingii...
Mnaweka nini ili kumzuia mwanamke aliyejifungua kwa operesheni muda wenu mnaofanya operesheni ili kumzuia asipate mimba...
Tuelezeni ili tuwe huru na amani maana tunakosa amani...kuhisi labda mimba imeingia lakini wapi...pamoja na mashuti yote hayo lakini goli hakuna.
Sent using Jamii Forums mobile app