Madaktari nchini Kenya wameitisha na kuanza mgomo leo, mgomo huo usio na kikomo lengo ni kuishinikiza serikali iongeze mshahara na marupurupu kwa watumishi wa afya, mgomo huo unahusisha taasisi zote za afya nchini humo.
Madaktari nchini Kenya wameitisha na kuanza mgomo leo, mgomo huo usio na kikomo lengo ni kuishinikiza serikali iongeze mshahara na marupurupu kwa watumishi wa afya, mgomo huo unahusisha taasisi zote za afya nchini humu.