Madaktari Kenya waitisha mgomo usio na kikomo

Madaktari Kenya waitisha mgomo usio na kikomo

comrade igwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
7,295
Reaction score
3,950
Wana jamvi

Madaktari nchini Kenya wameitisha na kuanza mgomo leo, mgomo huo usio na kikomo lengo ni kuishinikiza serikali iongeze mshahara na marupurupu kwa watumishi wa afya, mgomo huo unahusisha taasisi zote za afya nchini humo.

Chanzo: ITV
 
Wana jamvi

Madaktari nchini Kenya wameitisha na kuanza mgomo leo, mgomo huo usio na kikomo lengo ni kuishinikiza serikali iongeze mshahara na marupurupu kwa watumishi wa afya, mgomo huo unahusisha taasisi zote za afya nchini humu.

Chanzo: ITV
Kumbe ni Kenya inawezekana ingekuwa hapa kwetu hata wasingethubutu.
 
Back
Top Bottom