Chura
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,385
- 2,402
Sishangai kwa nn ulioa binti ana miaka 13 iko hiviSky Eclat
Naomba ukipata muda unielezee kidogo,samahan kwa usumbufu nahisi Kama naweza kukuelewa ama unaweza kunifahamisha lolote.
1.Ulichofanya ni unyanyasaji wa kingono binti mdogo ukaoa kwanza ww ni libakaji
2.Pili kiasi chake cha virus mwilini kikosi kiasi gani
3.ili upate maambukizi ni lazima vidabuzi (receptors) za kwenye seli zako nyeupe ziwee tayari kudabua virusi ni binadamu wachache sana ambao vidabuzi vyao haviwezi pokea maambukizi ikiwamo labda na vyake.
Naongezea unafaa kupatwa na hukumu ya jela kabla hujapatwa na VVU libakaji likubwa wewe shwaini