KERO Madaktari mnapotoa appointment mgonjwa afike muda fulani nanyi pia muwe mnawahi, inakera mgonjwa anawahi daktari anafika masaa 3 baadaye

KERO Madaktari mnapotoa appointment mgonjwa afike muda fulani nanyi pia muwe mnawahi, inakera mgonjwa anawahi daktari anafika masaa 3 baadaye

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Bora hyo mkuu................hivi ushawahi kwenda bank,unaingia ndani unakuta madirisha ya teller yapo matatu afu yote hayana watu....

Karibu Tanzania
 
Back
Top Bottom