dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Mkuu ona huruma basiHatusemi ng'oooooo kunyweni mfe mpunguze idadi ya watu halafu muwasingizie Freemason na mashetani kumbe ni uzembe wetu tunaoufanya kimakusudi
Tangu siku ilipotaka kumuondoa mke wa jirani yangu aliyedanganywa baada ya masaa 6 inakuwa haina nguvu wala sidanganyiki eeeh!Aah swala la kugida vipogo nikiwa natumia dawa nishakataza kabisa
Ikiwezekana acha kabisa kunywa pombe ukiwa unatumia dawa kwa matokeo mazuri zaidi
Najua basi, nimeskia tu maneno manenoPole kwa msiba OP.
Alikuwa anatumia dawa gani?
Hivi vidonge tunavyopewa kwwnye kikaratas maelezo utayatoa wap?unapaswa nawe usome maelekezo,mara nyingi nimepewa dawa nikasoma maelekezo yake zina mengi kuliko niliyoambiwa na daktari
Doz zingine zinatumiwa hata miez m3 mkuuDawa nyingi mara nyingi hazitakiwi utumie pamoja na pombe. Kwani ukiacha pombe mpaka umalizie dozi kuna shida gani. Pombe sio chakula kwamba Ukiacha urakufa
Hilo nalo tatizo, kuna dawa unamaliza dozi wanakwambia ukae wiki mbele ndo uanze kula gambeTangu siku ilipotaka kumuondoa mke wa jirani yangu aliyedanganywa baada ya masaa 6 inakuwa haina nguvu wala sidanganyiki eeeh!
Ishu ya medicine sio ya common sense,Ni mpaka uambiwe kwan huna common sense?
Haviendani ee?Alichanganya pombe na P2 au teh teh teh
Ukivuka barabara ni mpaka mtu wa usalama barabaran akwambie angalia magari ndio uangalie?Ishu ya medicine sio ya common sense,