Madaktari mnapotuandikia dawa semeni kama inaendana au haendani na vitu vingine mfano pombe

Tangu siku ilipotaka kumuondoa mke wa jirani yangu aliyedanganywa baada ya masaa 6 inakuwa haina nguvu wala sidanganyiki eeeh!
Aaah sio mchezo mkuu, mm nilishawahi Kukaa nayo kichwani mpaka niliomba Mungu aloo na kutubu maana muda unaenda Nalala naamka lakini zigo ninalo tu,

Toka wakati huo pombe na dawa ni tatizo kwangu
 
Uko vizuri, kumbe sio kula tunda kimasihara tu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Uko vizuri, kumbe sio kula tunda kimasihara tu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Watu wanatanguliza ulevi mbele kuliko afyaa zao[emoji3][emoji3][emoji3] Kufa kimasiharaa tu
 
Watu wanatanguliza ulevi mbele kuliko afyaa zao[emoji3][emoji3][emoji3] Kufa kimasiharaa tu
Unakuta mtu anaumwa lakini kujizuia kunywa pombe kwa muda hawezi wakati ni kitu kinachozuilika. Kweli asikwambie mtu Bia tamu
[emoji2365][emoji2365][emoji2365]
 
Hata kula mbususu nayo ni hatari.

Kuna jamaa aliugua TB kutokana na matumizi ya moto muda mrefu,(yeye ni mkaanga chipsi)..
Alikuja kupata nafuu kama miezi sita hivi kupita..
Kuugua muda mrefu akajikuta siku moja nyege zimempanda kinoma,ikabidi aende bafuni kupiga punyeto,ile kupiga bao tu akasikia kizinguzungu,miguu ikaisha nguvu akaanguka chini pwaaa kama mzigo na kupoteza fahamu.
Kaja kuzinduka siku ya tatu yupo hospitali kashapigwa madrip kibao,na ugonjwa ukaanza upyaaa mara mbili ya mwanzo,aliumwa nusu afe.
 
Sawa mkuu. Umetoa muongozo mzuri bila shaka wengi wamefaidika hapa.
 
Ukivuka barabara ni mpaka mtu wa usalama barabaran akwambie angalia magari ndio uangalie?
Tulia wewe, kila mtu anafundishwa namna ya kuvuka barabara lkn udaktari ni wachache wanafundishwa
 
Ohooo sio kamba hii kweli?
 
Ni nani huyo mkuu?
 
Ni uzembe wake hiyo Pisi...

Toka lini uchanganye pombe na dawa hata bila kuambiwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…