Madaktari mtupe jibu Je ubaridi wa tiles ndani ya nyumba unaweza kusababisha mtu kupooza/stroke?

Madaktari mtupe jibu Je ubaridi wa tiles ndani ya nyumba unaweza kusababisha mtu kupooza/stroke?

Mimi Nadhani inawezekana, nilikua nikiamka asub nikiweka miguu chini napigwana na shoti hivi so na hilo linawezekana
 
Kitanda chako cha chuma?
Hapana, cha mbao tu. Ila ilikua nimeenda sehemu kikazi kwa miezi sita so nikahisi may be ni tailizi za kile chumba tu...cz kwingine sikukutana na hio changamoto.
 
Tyles sio nzuri kukanyaga na miguu.
Tafuten slipers za ndani.
Binafsi sijawahi kupekua ndani.
 
Back
Top Bottom