Madaktari Muhimbili wamtoa mtoto kipande cha plastiki kwenye mapafu alichoishi nacho miezi 23

Hongera zao sana kwa kufanikisha kuondoa mateso kwa mtt.

Sister wangu alipoteza mwanae hospital KCMC, baada ya kufanyiwa operation ya moyo alipotolewa pini ya hijab, zile zenye kirungu. Nae pia alihangaika nae zaidi ya mwaka kwa tatizo la kifua.
 
Kuna mjinga atasema uchawi haupo...

Masikini mtoto wa watu, vita Bado haijaisha Bado...
Wakati mwingine ni utundu tu WA watoto, kuna kesi naijua mtoto aliingiza tunda ya ubuyu, hakusema walihangaika sana hospitali kesi ya kukohoa ila mwishowe ilitolewa kwa kuvutwa.
 
Hongera zao sana kwa kufanikisha kuondoa mateso kwa mtt.

Sister wangu alipoteza mwanae hospital KCMC, baada ya kufanyiwa operation ya moyo alipotolewa pini ya hijab, zile zenye kirungu. Nae pia alihangaika nae zaidi ya mwaka kwa tatizo la kifua.
Katika vitu huwa naogopa ni kuuguza mtoto, wenyewe huwa hawawezi kujieleza, hawawezi kuconnect dots kuelezea symptoms zao....Daktari anategemea maelezo ya mzazi ambaye hufeel exactly what the kid feels....naogopaga sana.
 
Mungu wa Mbinguni atukuzwe.
Mungu aendelee kuwatunza madaktari hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…