Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Habari Wana jamiiForums, Nipende kuwapongeza sana madaktari na manesi wa Hospitali ya Afya ya Akili iliyopo mkoani Dodoma.
Kwa mtazamo wangu, niliposikia hii ni Hospitali ya wagonjwa wa afya ya Akili nilijua madaktari na manesi watakuwa ni watu waliokaa kikatili,hawajali na ni watu wa matusi!
Jamaa ni waungwana zaidi ya customer care!
Pokeeni maua Yenu