Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Utakuwa umehudumiwa vizuri na Sasa umepona Kaka .Habari Wana jamiiForum,Nipende kuwapongeza sana madaktari na manesi wa Hospitali ya Afya ya Akili iliyopo mkoani Dodoma.Kwa mtazamo wangu,niliposikia hii ni Hospitali ya wagonjwa wa afya ya Akili nilijua madaktari na manesi watakuwa ni watu waliokaa kikatili,hawajali na ni watu wa matusi!Jamaa ni waungwana zaidi ya customer care!Pokeeni maua Yenu🌺🌷🥀🌹💐🌼🍀🌴🍄🍁🌺🌷🌸🥀🌹.
Sikuwa mgonjwa mkuu,kuna rafiki yangu Mmoja zilipandana majuzi,tulimpeleka na mwanae !,Kwa kweli walitupokea na kutuhudumia vizuri sana!Utakuwa umehudumiwa vizuri na Sasa umepona Kaka .
Hongera Sana ukiacha madaktari na manesi wa magerezani basi wanaofuata kwa ukarimu na kufuata miongozo ya afya ni hao uliowataja .
Ahsante.
Eeh mkuu tuwe tunacheki afya za Akili,kuwa na hasira za kupitiliza,kula Pombe mpaka inazima data nk noma!Kumeanza kuchangamkaaaa sasa...
Mental health is real wapendwa.
Sikuwa Mimi, Jamaa yangu wiki mbili lazima ukae huko kichwa kikipata moto!Hujapona
Tupime afya za Akili,hasira Kali,visasi,kula farujohn mpaka kuwa kama marehemu,Noma sana.Duh nati zimeanza kulegea ama fuse zinapoteza link?
Tupime Afya za Akili,hasira Kali,kula Pombe mpaka unasahau home,!Inakuhusu Afya ya Akili!Ahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣
Malizia dozi kwanzaHabari Wana jamiiForums, Nipende kuwapongeza sana madaktari na manesi wa Hospitali ya Afya ya Akili iliyopo mkoani Dodoma.
Kwa mtazamo wangu, niliposikia hii ni Hospitali ya wagonjwa wa afya ya Akili nilijua madaktari na manesi watakuwa ni watu waliokaa kikatili,hawajali na ni watu wa matusi!
Jamaa ni waungwana zaidi ya customer care!
Pokeeni maua Yenu
Msichokijua ni kuwa, Hospitali ya Mirembe pia inatoa huduma za kawaida za matibabuMalizia dozi kwanza
Sina dozi Wala siumwi,tupime Afya za Akili zetu, Hasira Kali,visasi,matusi ya ovyo nk,Jali afya ,pima Afya ya Akili ni injini ya mwili wako!Malizia dozi kwanza
Ahsante Mkuu,wengi wanadhani ni Afya ya Akili tuu!Msichokijua ni kuwa, Hospitali ya Mirembe pia inatoa huduma za kawaida za matibabu