Madaktari na wana ndoa naombeni msaada

Madaktari na wana ndoa naombeni msaada

Acha utani hiyo ni HPV infection so lazima uwe na muwasho sana na baadae utaanza kutokwa na uchafu

Mkuu nashhukuru sana...hii kitu imenitesa sana kabla warts hazijatokea madoctor wamenipa sana untibiotic bila mafanikio...sasa ndio nimegundua kua ni enfection ya HPV nini tiba yake kundoa miwasho...mbona madoctor wananipa tu untibiotic zisikua na mafanikio?
 
antibiotic haitibu virusi mkuu HPV ni virusi unaelewa na naona unachagua sana watu wa kukupa msaada na una uhakika gani kama una HPV umeambiwa na daktari kuwa una ugonjwa huo au unasikia juujuu tu?taja jinsia yako kwanza? Naona hujui una tatizo gani na ndio maana nimekwambia uweke picha...hata Herpes simplex virus inasababisha uvimbe/upele....
 
Nashukuru coz unaonyesha ushirikiano...ndio maana nasema baada ya warts kutokea nikajua kua ni enfection ya virus sio bacteria...HPV ninavyojua haina kipimo zaidi ya kuona warts ndio unaweza jua kua upo effected..mimi me..nina warts kwenye ngozi ya pumb...nahisi miwasho mikali mpaka mapajani....msaada ndugu yangu
 
Labda mnijuze uondoaji wa hizi warts ndio utaondoa hii miwasho
 
Nashukuru coz unaonyesha ushirikiano...ndio maana nasema baada ya warts kutokea nikajua kua ni enfection ya virus sio bacteria...HPV ninavyojua haina kipimo zaidi ya kuona warts ndio unaweza jua kua upo effected..mimi me..nina warts kwenye ngozi ya pumb...nahisi miwasho mikali mpaka mapajani....msaada ndugu yangu
  1. Osha eneo lenye upele kwa maji na sabun.
  2. Jikaushe vizuri kabla hujatumia cream.
  3. Tumia imiquimod 50mg cream paka kwenye hivo vipele.Fanya kama unamassage mpaka cream isionekane.
  4. Cream inatakiwa ibaki kwenye eneo kwa muda wa masaa 8.Epuka kuoga au kuosha eneo baada ya kupaka dawa.Tumia dawa mara 3 kwa wiki mfano jumatatu,jumatano na ijumaa au jumanne,alhamis na jumamosi) kabla ya muda wa kulala.
  5. Tumia dawa mpaka upele wote uondoke au kwa muda usozidi 16 weeks.Osha mikono vizuri kabla na baada ya kutumia dawa!
 
Asante sana kwa ushauri..Mungu awe nawe
 
nenda hosp. ukawaone wataalam wa afya upatiwe tiba ndugu............
 
Back
Top Bottom