Madaktari na Wanasheria msio na ajira mfike Kenya mara moja.

Kwesta

Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
24
Reaction score
17
kenya kuna upungufu mkubwa wa madaktari na wanasheria.
Tukumbuke kuwa kama wewe ni mwanasheria kutoka taifa lolote la jumuia ya afrika mashariki basi una haki ya kuhotubia kotini kule.

Na kuna upungufu mkubwa wao Kenya. Kazi kila sehemu.

Kazi kwenu.
 
Kenya sio nchi salama ya kufanya kazi,utahujumiwa au kuuwawa
Huko mnawezana majaluo,wakikuyu na wasomali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…